asia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Oktoba 29, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
  2. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

    Wakuu, Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana. Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia, Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu...
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Urusi imewataka raia wake wote waondoke mara moja Israel

    Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army BREAKING: 🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli airstrikes attacked the vicinity of Russia's Khmeimim base in Syria. In light of the extremely tense...
  4. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini na sisi tutakusanya Marais wa ulaya au Amerika au Asia waje kwa pamoja tujadiliane fursa za kibiashara!?

    Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa. Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina...
  6. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo njia rahisi zaidi kuingia Marekani, Ulaya na Asia

    Habari wana-JF! Najua tayari kuna nyuzi kedekede kuhusu njia za kufika Marekani, Ulaya na Asia kwaajili ya kubadili upepo na kutafuta fursa mpya ila leo nitaongezea maarifa hasa kwa wale wanaojipanga kutoka nje ya mipaka ya Tanzania na Africa kwa ujumla. Nitaanza kuweka njia rahisi za kuingia...
  7. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wachimbaji wa kigeni na wakezaji kutoka bara la asia .Ni kipi Watanzania tumegundua kwao?

    Kuingia kwa wachimbaji wa kigeni na wawekezaji kutoka bara la Asia, hasa katika sekta ya uchimbaji, kunaweza kuleta fursa na changamoto kwa Watanzania. Idadi kubwa ya wachimbaji wa kigeni na wawekezaji wengi wanatokea bara la Asia, hususan China. China ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulaya haina majengo marefu kama ilivyo Asia Na America?

    Kama kiuchumi wako vizuri na wana historia kubwa kwenye mifumo ya maendeleo ya ulimwengu ila ukija kwenye upande wa majengo marefu (skyscrapers) mazuri inapigwa chini na nchi za Asia Shida nini je, ni utamaduni Wao tu au kuna nini yaani majengo 20 marefu zaidi Duniani hakuna hata moja kutoka...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Utegemezi wa Dunia sasa umeelekea Bara la Asia sio Magharibi tena. Kwaheri Umagharibi!

    Ni ukweli kwamba mwegemeo wa dunia kwa sasa "global economic activity center of gravity " unajiegemeza bara la Asia hasa mataifa ya Uchina, Indonesia na India pamoja na Falme za Kiarabu. Hakuna ubishi tena kwamba enzi au zama za umangimeza wa nchi za Magharibi umeshafikia mwisho. Nchi...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Asia kupewa tenda nyingi Afrika ni janga lingine

    Miaka ya karibuni kumekua na wimbi kubwa la kampuni za asia kushinda tender hasa za barabara hii ni habari mbaya sana kwa sababu ubora wa miradi wanayojenga kampuni za asia ni mdogo sana baada ya miaka kadhaa tayari unakuta zimeanza kuharibika. Sheria ya mshindi wa tender lowest bidder itazamwe...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushamba sio dhambi skendo ya Loveness Tarimo jibu jepesi kwa sisi Tuliofika nchi za Asia hasa Thailand huyu ni Ladyboy wa mchongo

    Niwafungue macho wadau wa kukata mbuga angani hasa safari za Asia mahususi nchi maarufu kwa kila aina ya vituko vya shetani. Loveness Tarimo huyu wa kibongo ni ladyboy wa kitanzania na hao wapo wengi sana na wataongezeka sana tu. Usiteseke soma zaidi visit google, and YouTube soma sikiliza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania America ,Europe na Asia wapewe mauwa yao

    IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini. Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Lavrov: Magharibi inaitumbukiza Asia Magharibi kwenye vita vikubwa

    Nov 07, 2023 08:12 UTC Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kwamba serikali za nchi za Magharibi zimeliweka eneo zima la Magharibi mwa Asia kwenye ukingo wa vita vikubwa kwa hatua zao katika nchi kama Iraq, Syria na Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

    Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ? Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Asia ya Hangzhou 2023 kuhimiza Asia kuelekea maendeleo ya pamoja, uwazi na mafungamano

    Michezo ya 19 ya Asia inayofanyika mjini Hangzhou, China ni jukwaa kubwa zaidi la michezo barani Asia, na inafanyika kwa mara ya kwanza baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na changamoto ya COVID-19. Kwenye hotuba ya ufunguzi wa michezo hiyo, Rais Xi Jinping wa China alikumbusha kuenzi kauli...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Mafundi ujenzi kutoka Asia wanyang'anywa passport na kulazimshwa kuingia jeshini Urusi

    Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu kuzuia mtiti wa counteroffensive ya Ukraine. PHOTO: SPUTNIK Since the end of June, Russia has...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

    Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa. Afrika jamani shida ni nini?
  19. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoenda kusoma Ulaya wakirudi wanafanikiwa kwenye biashara tofauti na wenzao waliosoma nchi za Asia, tatizo nini?

    Nimeona vijana wanaoenda kusoma huko nchi za ulaya wakirudi wana kuwa na moto mkali wa kufanya biashara, hata wakiajiriwa basi kuna biashara pembeni, watu hawa nimeona biashara zao huwa zinafanikiwa sana japo simaanishi ni wote ila wengi, nimeona vijana wa kundi hili wanajituma zaidi na wana...
  20. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
Back
Top Bottom