Kwanini Marais wengi wa Afrika ni wanene wakati Ulaya, Amerika na Asia ni Wembamba?

Kyenyabasa

JF-Expert Member
Mar 8, 2023
249
711
Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba?

Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je, Waafrika ndivyo tulivyoumbwa?

Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
 
FpeMYnRWIAAf0iK.jpeg

Kama huyo mwamba ni mnene basi pana tafsiri tofauti ya unene.
 
Kimsingi marais Masikini na hata matajiri masikini wana viriba tumbo hii ni kwa sababu ya kula hovyo.
 
Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?

Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je,waafrika ndivyo tulivyoumbwa!?

Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
Weka picha zao
 
1: vyakula vya Kiafrika ni wanga tuu, ugali na wali. Unakuwa na mwili mkubwa, nguvu nyingi lakini akili kisoda.
2: Udumavu wa akili kwa kudhani mtu mnene ni tajiri na mwenye afya.
3: Ulaji wa hovyo bila mpangilio mzuri yani hakuna balance diet
4: N.k
 
Malengo tofauti, waafrika Wana malengo ya kujinufaisha, wa nchi zilizoendelea si malengo ya nchi zao tu, bali hata Dunia wataifanyia nini.
 
Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?

Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je,waafrika ndivyo tulivyoumbwa!?

Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
Urais Africa ni ulaji na upigaji wa mali za umma wakati Ulaya urais ni uwajibikaji.
 
Umezingatia neno "wengi" kwenye uzi?Unalitofautishaje na neno "wote"?
🤣
Ikulu wamegeuza jiko full madiko diko
🤣🤣
1: vyakula vya Kiafrika ni wanga tuu, ugali na wali. Unakuwa na mwili mkubwa, nguvu nyingi lakini akili kisoda.
2: Udumavu wa akili kwa kudhani mtu mnene ni tajiri na mwenye afya.
3: Ulaji wa hovyo bila mpangilio mzuri yani hakuna balance diet
4: N.k
🤣🤣🤣
 
Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba!?

Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je,waafrika ndivyo tulivyoumbwa!?

Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili kutochakata mambo sawasawa hivyo kupelekea mwili kufutuka, au ni tatizo gani haswa ndugu zangu Marais wetu kuwa wanene tofauti na wenzao wa mabara mengine!
Kikwete, kagame mbona weembamba
 
Back
Top Bottom