asante

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Asante Mo Dewji kwa kufanyia kazi maoni yangu kuhusu Sportspesa

    Ndoto yetu ni Simba Sc iwe club yenye mapato makubwa ili iweze kufanya ushindani katika usajili
  2. lendila

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hii katiba yetu, inampa mno madaraka makubwa sana, mwalimu alisema kuwa kama tukimpata Rais asiyekuwa na busara, kwa katiba hii Rais anageuka kuwa mungu, unakubaliana na kauli ya mwalimu Nyerere? "Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa upendo wako usio na kifani

    Habari zenu wanajamvi. Nawasalimu katika Jina Kuu la Bwana wetu Yesu Kristo lipitalo majina yote. Ni wakati mwingine tena ambao kwa upendeleo Mungu ametupa hapa duniani kuwepo na ni jambo la kumshukuru sana mungu kwa mambo yote ambayo ametutendea katika maisha yetu. Napenda kibinafsi...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Asante kwa kuchagua Vodacom, Namba ya Mtumiaji unayempigia haipatikani kwa sasa

    Huu ujumbe umekuwa unasikika mara nyingi sana hata kama unapiga simu kutoka Tigo kwenda Tigo au Halotel au mtandao mwingine usiohusiana kabisa na Vodacom. Je kuna kuhujumiana kunafanyika humo mitandaoni?
  6. KITAULO

    JamiiForums Tanzania Wiki mbili zilizopita nilipatwa na mafua makali na homa, ila mafua ya safari hii hayakuwa ya kawaida kama ilivyozoeleka

    Wadau, Kama wiki mbili zilizopitwa nilipatwa na mafua makali na homa, nikadhani ni hali ya kawaida nikimeza Coldril nitakuwa poa kama ilivyo ada yangu ikizingatiwa nina allergy na suala la mafua na kupiga chafya ni hali inayotokea mara kwa mara. Lakini la kushangaza mafua ya safari hii...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

    Sitaongeza neno lolote , jionee mwenyewe .
  8. DPN

    JamiiForums Tanzania Asante Postmaster General kwa kunilipia fidia

    Nawasalimu Wana-JF wote; heri ya mwaka mpya 2021. Mnamo tarehe 07/12/2020 niliandika malalamiko yangu hapa JF kuhusu mzigo wangu kupotelea Posta tangu tarehe 13/3/2020; ambapo hatua za kufuatilia mzigo huo hazikuzaa matunda, mpaka nikafikia hatua ya kuandika malalamiko hayo JF kwenye link hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli. Tumesikia Barabara ya Bagamoyo Mlandizi inajengwa

    Wanajanvi hii ni special thread ya pongezi kwa His Exc. Magafuli kwa udhati wa kutusaidia wanabagamoyo pamoja na kuwa Mwanawetu mwenyewe alikuwa Rais, Mwanawetu Mwenyewe alikuwa Waziri wa Ujenzi na Baadae Elimu kwa kipindi Kirefu sana. Mtani Magufuli, tumeona Kamji ketu ka Bagamoyo...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Leo nina furaha sana, asante Mungu umenifuta machozi

    Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu. Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia. Pesa kwangu daima...
  11. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi yangu: Asante Watanzania, asante Ndugu na Marafiki

    Naam, miaka 4 ya nenda - rudi kortini imehitimishwa leo baada ya hukumu ya mwisho kusomwa mahakamani. Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake katika safari hii; nawashukuru ndugu na familia kwa kuwa nami bega kwa bega katika kesi hizi na kunitia moyo; nawashukuru uongozi na...
  12. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Asante kwa Kunifuta Machozi (Hisia Zangu)

    Simulizi: ASANTE KWA KUNIFUTA MACHOZI (HISIA ZANGU) Mwandishi: JOSEPH SHALUWA Imeletwa kwenu na: BURE SERIES ***** SEHEMU YA 1 KATI YA 50 Edo wewe! Acha utani wako bwana... unajua kitakachotokea. Utaniudhi sasa...” akasema Lilian kwa sauti ambayo haikueleweka ilikuwa ya ukali au kudeka...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kurejea Bara ni leo. Asante Wazanzibar kwa ukarimu wenu hakika nyie ni watu wa Iman

    Ugeni wangu wa Zanzibar ulifana sana! Nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi sana; Nimejifunza wazanzibari wengi wanaishi kijamaa sana! Wazanzibari Wana utaratibu wa kufuatilia wageni kimyakimya kwa kila mgeni anaeonekana mtaani ili kujiridhisha alipofikia na kujua ni mgeni wa nani; Hivyo ni...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Asante Serikali kwa maandalizi bora ya Uchaguzi 2020

    Hatimaye nimetumia Kitambulisho cha Utaifa kupiga kura. Hii ndio demokrasia na maendeleo ya kweli. Haki ya kuchagua na kuchaguliwa imeongezewa uwigo.
  15. kajekudya

    JamiiForums Tanzania GE2020 Asante kwa kuja; Fikisha salamu zetu kwa Robert Amsterdam na wenzake

    Zipo taarifa ambazo wewe mwenyewe umezithibitisha kuwa mara baada ya Uchaguzi utarudi Ubelgiji, huko ulipokuwa kwa takribani miaka mitatu na kurudi siku chache kabla ya zoezi la Uchaguzi mkuu kuanza. Ni jambo jema kuwa ulijua huwezi kutoboa na ukafanya maandalizi hayo mapema. Sasa sisi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Asante Magufuli: MV Amani yaanza majaribio ziwa Tanganyika

    Mtanzania, ungana nami kusherehekea mafanikio katika sekta ya usafiririshaji ambayo haya ni maendeleo ya vitu yanayochochea maendeleo ya watu. Serikali ya awamu ya tano inaleta meli kubwa ya kisasa iitwayo Mv Amani ambayo itafanya safari zake katika ziwa Tanganyika na hivyo kuwa msaada mkubwa...
  17. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au? Kama kitu Watanzania wanachotaka ni maendeleo, then...
  19. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Asante sana Raisi Magufuli, Dar-Arusha City!

    Hapa tukipanda treni yetu kuelekea Arusha City, ...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kuhamishia utalii Kanda ya Ziwa ni muhimu kiuchumi. Asante Dkt. Magufuli

    Nimemsikia Mgombea wa CCM akinadi sera zake na kuahidi kuwa serikali inao mpango kabambe ya kubadili ukanda wa ziwa kuwa wa kiutalii ili kuiongezea Serikali mapato nikafurahi sana kama mwananchi. Ni wakati mwafaka sasa kusambaza utalii kanda ya magharibi na kusini ili kutekeleza Master Plan ya...
Back
Top Bottom