Wakuu Amani iwe nanyi., Peace and love 😍 wana jf.
Jambo ambalo nataka kusema ni kuwa Arusha imebadilika kwa kiasi kikubwa sana tangu hili gonjwa liingie yaani ni balaa.
Arusha ni mji uliojaa wazungu kila Kona utafikiri tupo South Africa 🌍 na tushazoea kufanya biashara au mazungumzo ya hapa na...