johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,871
- 141,804
Watanzania wameendelea kuwa wabunifu katika kujenga mikakati imara ya kukabiliana na janga hili hatari la Corona.
SIDO mkoani Arusha wametengeneza hema maalumu kwa ajili ya kujifukizia au ukipenda kupiga nyungu.
Hema hilo ni mfano wa kama kibanda kidogo cha turubai ambacho mhusika ataingia ndani yake akiwa na nyungu zake na kujifungia humo hadi nyungu zipoe.
Bei ya hema hizo inakadiriwa kuwa kati ya sh 350,000 na 400,000
Wito umetolewa kwa mashirika na taasisi zote mkoani humo kuona umuhimu wa kuwanunulia wafanyakazi wao hema hizo.
Source: ITV habari
My take; hongera mbunge wa Arusha mjini
Maendeleo hayana vyama!