Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha.
Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje..
Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
Habari za majukumu wakuu,
Kuna mzigo nataka kuingiza kupitia border ya Namanga, Arusha. Ombi langu ni kwa mtu anayejua kampuni au mtu ambaye ni Clearing and Forwarding Agent anayefanyia kazi pale border anipatie mawasiliano yake.
Nipo mbali na eneo hilo ndio maana nimeomba msaada huo...
Rais Samia anafungua hotel ya kisasa mkoani Arusha iitwayo Gran Melia na tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten.
Karibuni sana.
=====
Rais Samia Suluhu amezindua rasmi hoteli ya kisasa ya nyota tano Gran Melia Arusha, huku akialika wawekezaji zaidi kwenye sekta ya Utalii nchini...
Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo.
Walimu pekee ambao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani atafanya Ziara ya kikazi Arusha kuanzia kesho Novemba 21, 2021.
Akiwa Arusha atawatunuku Kamisheni Maofisa Wanafunzi wa JWTZ Kwenye Chuo Cha Uongozi wa Kijeshi Monduli (TMA).
Mama Samia pia atahusika kwenye uzinduzi wa...
Hili jiji kwa miundombinu bado kabisa, ni zaidi ya miaka kumi (10) sasa tangu litangazwe jiji, lakini cha kushangaza na kusikitisha hakuna vituo maalumu vya kushusha na kupakia abiria.
Vile vituo vya njiani hakuna alama yoyote inayoonyesha kuwa hapa ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria, kwa...
Hii barabara ni ya vumbi Inatokea Tengeru kupitia chuo cha mifugo kuelekea mbuguni.
Barabara hii hiyo inapita katika taasisi ya Tari hot Tengeru. Na pia inapita katika chuo cha Maendeleo ya jamii (TICD) na chuo cha mifugo cha Tengeru,bila kusahau kuwa bara bara hii ndio inayopita katika chuo...
Wanabodi,
Bado niko jijini Arusha, kuwaletea live ya day 2 ya , mkutano wa kimataifa wa ITAC
ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
Wanabodi, niko hapa jijini Arusha, kuwaletea live, kinachoendelea, kwenye mkutano wa kimataifa wa ITAC
ITAC is a brainchild of WAJIBU designed for people to meet and discuss trends on transparency and accountability, sharing best practices, successes and challenges in order to promote an...
Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu.
Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana.
Hii imekaaje kitaalamu?
Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao.
Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja...
Tembea ufunzwe na dunia, ni sehemu ya msemo hama methali maarufu miongoni mwetu, mafundi genereta kwa sasa wanasema kufa kufaana 😐!.
Nikiwa kwenye pilikapilika zangu za kuutafuta mkate wa siku, mara mgambo wamepita wakiwa kwenye pickup tatu wakitokea maeneo ya mnara wa mwenge ni hapo jijini...
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema itazifutia leseni Jumuiya na Taasisi ambazo zitashindwa kuwasilisha vyeti, katiba na kanuni za uendeshaji katika ofisi za msajili ndani ya siku 15 kuanzia Novemba 15.
Hayo yamebainishwa Novemba 15, 2021 Msajili wa Jumuiya, Emmenuel Kihampa wakati...
Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani kitaifa yatakayofanyika mkoani humo kuanzia tarehe 23.11.2021 katika Uwanja wa Shekh Amri Abeid Karume.
Kamanda Masejo...
#ARUSHA: Kamanda wa Polisi mkoani humo, ACP Justine Masejo amewataka raia kuendelea kusalimisha Silaha zote wanazozimiliki kinyume cha sheria katika vituo vyote vya Polisi, Ofisi za Serikali za Mitaa, pamoja na Ofisi za watendaji wa Kata.
Kamanda Masejo ameyasema hayo jana Novemba 12, 2021...
Stand ya magari madogo Kilombero Almaarufu kama stand ya Hiace ambazo daladala zote za mjini huanzia hapo haikidhi kabisa vigezo vya kuitwa stand ya daladala kutokana na sababu zifuatazo.
Hakuna vibao vinavyoonyesha kwamba hapa ndipo yanapopaki magari ya uswahili, Njiro au Usa, bali dereva...
Vijana wanaojiita Arusha boys ambao wameweka kambi eneo la wazi la makaburi karibu kabisa na stand kubwa ya mabasi ya mikoani wamekuwa wakiuza Gongo mchana kweupe kwa staili ya aina yake,
Gongo hiyo huwekwa kwenye chupa maalumu za maji ya kunywa na pindi mteja anapokuja kutaka huduma hupimiwa...
Kutoka BBC asubuhi hii, kuna vijana wabunifu wakazi wa Arusha wamekuja na mkaa unaotokana na kinyesi cha binadamu.
Ni mkaa usio na athari yoyote kiafya hata kama mtu atalala nao ndani
Ni mkaa unaokaa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida.
Huwezi kuuzima na maji kama mkaa mwingine
Hauna moshi...
Wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wafunga maduka yao na kuitisha kikao cha dharura kutaka kuandamana baada ya kuambiwa na jiji kuwa hakuna ruhusa ya kutoa (kudisplay) bidhaa zao nje ya maduka yao bali ni ndani ya maduka tu. Hakuna ruhusa ya Kutoa hata mdoli wa nguo nje au pochi nje ya...
Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu.
Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.