arusha

  1. dubu

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, angalia Polisi wako wa Arusha Wanavyo lazimisha Rushwa kwa Kushirikiana na Mgambo

    TUKIO LA WAANDISHI WA HABARI KUKAMATWA NA KUPEWA KESI YA MCHONGO ARUSHA. Waandishi wa Habari wawili wa vyombo vya Habari tofauti mmoja Korumba Victor Moshi na Wa Global Tv na Alphonce Kusaga Wa Tripal A Redio wote wa Mkaoni Arusha walikamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha wakiwa wanafatilia...
  2. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Vituko vya migambo wa jiji la Arusha

    Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza, Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake, Akaja mgambo akamkamata, Kijana akahoji kosa lake ni nini? Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha

    Taarifa za kukamatwa kwa waandishi wa habari jijini Arusha Waandishi wawili Victor Korumba wa Global TV na Alphonce Kusaga wa Triple A FM wanashikiliwa na Polisi Kituo Kikuu, walikuwa wakifuatilia tukio la askari kituo cha polisi sakina kupiga raia jana Februari 23, 2022. Nimeongea na...
  4. mkumbwa junior

    JamiiForums Tanzania A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

    Wewe ni mwenyeji wa Arusha? Wewe ni mkongwe wa Arusha?Unazijua “mbanga” za Arusha? Unawajua hawa? Kyusa, Zungu, Kababuu, Pengo, Mojaa, Juma Kipisi, Jumanne Mjusi, Sadiki Mkindi na Wengineneo?Kwa mkongwe wa Arusha, nina hakika kabisa majina haya yamekusisimua sana. That is a list of daring...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Material Engineer at TANROADS Arusha

    Ref. No. AB.267/322/01/27 The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Topographical Surveyor at TANROADS Arusha

    Ref. No. AB.267/322/01/27 The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Office Secretary at TANROADS Arusha

    Ref. No. AB.267/322/01/27 The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. Apart from this, it is also responsible in...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii mbovu Rais anaweza kuuza mkoa wa Arusha na asihojiwe wala kushitakiwa mahala popote. Tuibadilishe

    Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro. Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni mali ya watanzania wote. Kwa mujibu wa katiba ardhi yote iko chini ya rais". Kwahiyo basi, katiba...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Radi yajeruhi watu wawili wakitumia simu wakati mvua inanyesha

    Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao. RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Maharage: Nipo Arusha

    Heshima Kwenu Wakuu Nina maharage gunia 20, nipo hapa Arusha natafuta mnunuzi. Haya maharage niliyalima mwaka jana hapa hapa Arusha. Maharage yanaitwa "ngaraisee." Kama utahitaji au unajua anayehitaji tafadhali nipigie kupitia 0764-653-982 Shukrani
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna Valentine! Imeisha hiyooo

    Machalii wa Arusha wanasema Arusha hakuna Valentine tarehe 14.02. imeishaa hiyoo. Tatufa pesa mapenz yatakuchelewesha
  12. Mesorphine

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  13. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa

    Mlinzi wa shule ya Winning spirit iliyopo Terat jijini Arusha ISSA DINAIH ISSA miaka 57 mkazi wa Terati ameuawa Kikatili kwa kukatwa shingo na kutengenishwa na kiwiliwili na watu wasiojulikana na Kisha kuondoka na kichwa Cha marehemu usiku wa kuamkia leo. Polisi Arusha imeshindwa kuzungumzia...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Wilaya ya Tunduru kinajaa wananchi sana asubuhi

    Sijaelewa ni mentality ya raia tu kupenda kupelekana polisi kwa kesi hata ndogondogo au ni mazingira polisi wametengeneza ili kupiga hela kwa sababu haiwezekani asubuhi tu kituo kinajaa wateja zaidi ya 100 na ni kila siku mpaka inafikia hatua wanaitwa kwa foleni. Mambo haya hayapo katika vituo...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga

    Mfanyakazi wa Benki ya DTB, Jijini Arusha, Bryson Burchad (50) mkazi wa Ngusero jijini hapa,amejinyonga hadi kufa katika chumba Cha mpangaji wake kwa kutumia Kanga ya mkewe aliyoomba kwa lengo la kwenda kuoga huku akiacha ujumbe mzito kwa mkewe. "Mke wangu Rose nisamehe kwa uamuzi niliochukua...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

    Mkoa wa Arusha unasifika pale mjini, lakini wilaya zake ni masikini mno, Ukisikia Arusha wala usitishike kabisa, shangai mkoa huu kuwa chini kwa kipato cha watu wake wakazidiwa hadi na Ruvuma. Wilaya zilizopo mkoa wa Arusha zina hali mbaya, Wilaya kama ya Ngorongoro ambapo wakazi wake wakuu ni...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mke wa Mtu auawa na mchepuko wake baada ya kutoa mimba ya mchepuko

    MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba la migomba akiwa mtupu na baadhi ya majeraha mwilini ikiwemo ya kung’atwa na meno huku akidaiwa kuuawa na hawara yake (mchepuko). Mwili huo ulipatikana jana...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi walia na kituo cha mabasi makubwa ya abiria ya kwenda mikoani

    Wananchi jijini Arusha pamoja na abiria wanaotumia stand kubwa ya mabasi wamailalamikia uongozi wa jiji la Arusha kuwa wameshindwa kuwaletea mabadiliko kwa kuwajengea stand nyingine mpya ya kisasa tofauti na iliyopo sasa ambayo ipo tangu kabla ya uhuru hadi sasa. Kutokana na udogo wa kituo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Arusha na Kilimanjaro hawajawahi kunyenyekea mwanasiasa wala kiongozi: Miaka yote wamekataa kutawaliwa wanaongozwa

    Nawapongeza wachaga, waarusha, wairaq, wambulu, waMeru na Wamasai kwa kukataa kutawaliwa. Hawa watu toka enzi ya mkoloni walimkataa mkoloni kwa vitendo, mkoloni alipobaini ni vigumu kuwatumikisha akaamua atumie wamishenari kwa ajili ya kutangaza injili kurahisisha njia ya kuwatala lakini...
  20. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Arusha yatajwa miongoni mwa majiji 10 bora duniani kwa huduma za kitalii

    Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imechapisha na kulitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka, CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja...
Back
Top Bottom