arusha

  1. MURUSI

    JamiiForums Tanzania LATRA Arusha ni wameshindwa kusimamia Daladala kuhusu kujipandishia nauli kiholela?

    Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya. Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Wadau wajadili masuala ya uzalishaji wa habari pamoja na usambazaji wake katika mazingira ya Kidigitali

    Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Akamatwa kwa kumuua mtoto wake wa miezi nane na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Salmin Rajab (29) fundi ujenzi, mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Sahiri Salmin mwenye umri wa miezi nane, kwa kumchinja shingoni na kutenganisha kichwa na kiwiliwili. Akithibitisha kutokea kwa...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania General Tyre Arusha kugeuzwa mabanda ya biashara kama kwa Mromboo

    Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Waziri Salum amesema anakusudia kubadilisha matumizi ya eneo la kiwanda cha tairi cha General Tyre kilichopo Mkoani Arusha kutokana na kiwanda hicho kusimamishwa uzalishaji tangu mwaka 2007 na kutumia kiasi kikubwa cha Fedha kwa ajili ya huduma...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Upandishwaji nauli kiholela jijini Arusha

    Habarini wanaJF, Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari. Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atoa maagizo mawili Uwanja wa AFCON Arusha

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika kwa Fainali za AFCON 2027. Maagizo hayo ni uharakishwaji wa mradi huo pamoja na matumizi stahiki ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kufuatia picha mjongeo inayoonekana katika mitandao ya kijamii ikimuonesha...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mmoja akamatwa akituhumiwa kumfanyia ukatili Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaje Johnson Jonas mkazi wa Matejoo Jijini humo kwa tuhuma za kumpiga mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu kufuatia picha mjongea inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ikionesha tukio hilo. Akitoa taarifa hiyo, Kamanda wa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania Diwani akamatwa na mirungi zaidi ya kilo 100 Arusha

    MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya Toyota Wish yenye namba ya usajili T 889 DPG. Akizungumza Aprili 14,202 jijini Dar es Salaam...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watu wa Arusha mtusaidie, je, picha imepigwa Arusha?

    Ni kwamba watu wa Arusha mmeshindikana au vipi? Hili tukio la huyu jamaa akivuta 'Space Capsule' ni la kweli?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC : CRDB Confederation Cup : 12/4/2026 Sheikh Amri Abeid Arusha

    Baada Ya Kubana, sasa Wanaachia. Dk 60 SSC 2 - 1 DFC
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa Arusha kuna sehemu ina pisi kali kuzidi Kelly's lounge?

    Oya Nimekuja huu mji wa arusha kikazi.mwenyeji wangu kanileta hapa kwenye hii bar..wakuu kuna pisi sio za nchi hii. Asante for your attention on this matter.
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Makonda ondoka Arusha

    Makonda Arusha hatukutaki. Ubunge umelazimisha ili uwe Waziri. Get the he'll out of Arusha.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | TRA SC 0-0 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid - Arusha

    Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu. Kikosi cha TRA United SC Kikosi cha...
  16. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania LATRA toeni ufafanuzi kuhusu nauli wanazotoza mabasi ya costa ya Moshi kwenda Arusha

    Niwaombe mamlaka ya LATRA waingilie kati maana costa za Moshi Arusha wamejipangia nauli wanavyo taka hii imekuwa ghali kuliko. Naomba Latra wafuatilie hili au wapange nauli halali kama inavyo takiwa. Shukran
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tulioomba kuunganishiwa Maji Moshono Arusha tunazungushwa, AUWSA wanadai hawana Mita

    “UKOSEKANAJI WA METER ZA MAJI ARUSHA”. Tumekuwa tunapitia changamoto kubwa ya kuunganishiwa huduma ya maji Arusha kwa kisingizio kutoka AUWSA kwamba hakuna meter. Baadhi ya Wakazi wa Moshono, Kata ambayo ipo hapahapa Arusha Mjini tumefanya malipo tangu January lakini hakuna Meter na hili...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha DC kuna jambo linastahili kufuatiliwa katika Sekta ya Elimu

    Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC. Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo. Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania KATIKA Ili la uwanja wa mpira Arusha, Mzalendo wenu Makonda anaponaje?

    Ripoti ya CAG, ikiunganishwa na ripoti ya Ile tume ya Kodi itakuonesha kwa Nini Mimi natamani kujifia kila ninapo LIPA Kodi Nauliza katika Ili la uwanja wa mpira Makonda na yule aliyekuwa mbunge wa Arusha wanaponaje? Maccm majizi jaman jaman jaman.
  20. Mributz

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k

    Nipo Arusha nauza tv yangu sony bravia 190k 0718909429 Inch 32
Back
Top Bottom