Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
Wapendwa nahisi dunia imesimama, nina mawazo sana nahisi kila kitu kimesimama, nataka nije Arusha kupumzika....
Nipo jij la Chalamila
Niandae bajeti ya shingap
Nishakuja huko zamani sana...
Sihitaj kwenda mbugani, nahitaji kukaa hapo hapo mjini.
Nilikuwepo Atown 2011 hadi 2016 -
Maendeo niliyoishi ni Njiro mitaa ya double B karibu na kituo cha polisi, Lemara, Relini karibu na bwawa la maji taka na Njiro Tanesco.
hali ya usafiri imeboreshw ? Muda huo wote nilikuwa napanda vifodi na hiace, sikuhizi kuna mabadiliko ? ile stendi kuu ya...
Daraja hili limejengwa na vijana wawili wa kata ya Sinoni katika halmashauri ya Arusha mjini, baada ya eneo hilo Kukosekana daraja kwa miaka mingi.
Daraja hilo hulipiwa kiasi cha shilingi 200 kila avukapo mtu. Hivyo basi wananchi hulazimika kutumia kiasi cha shilingi 400 kila siku kupita juu...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
Kwanza vuta picha ya tukio lenyewe kisha sikilizeni hawa vijana, wote hao; wanaoongea na mwandishi na hao wengine wanaoreact! Mkishamaliza poromosheni matusi kama kawaida yenu, nimekaa paleeeeee nayasubiri!
Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile kinachozungumziwa., watu wa aina yake, mandhari nzuri na ya kuvutia.. mji wenye idadi kubwa ya wageni...
Dkt. Cassian Nyandindi, Kamishna Msaidizi wa Tiba na Huduma za Utengamao akiwa kwenye mahojiano East Afrika Radio amegusia mambo mengi kuhusu madawa ya kulevya.
Akifafanua kuhusu kukithiri kwa matumizi ya bangi katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania amesema
"Kutokana na ukamataji na jinsi...
Wanabodi habari ya muda huu?
Nimekua nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea katika Jiji la Arusha kwakweli hakina Afya sana kwa siasa za awamu ya sita. Ikimbukwe kihistoria jimbo hili ni la upinzani na CCM imetumia nguvu kubwa sana kulirudisha, lakini kinachoendelea ni kama kuchezea shilingi...
Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu.
Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu.
Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...
Mkuu wa wilaya ya Arusha Felisian Mtehengerwa amesema kitendo cha wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika jiji la Arusha kuandamana usiku kinachochewa na wanasiasa wenye nia ovu ya kuihujumu serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na amemtuhumu mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kuwa kinara wa...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtehengerwa, amesema hali ya ushoga katika jiji la Arusha ni mbaya kwa sababu inakadiriwa zaidi ya vijana 400 wanajihusisha na vitendo hivyo na kuwataka madiwani kuvikemea katika maeneo yao.
Aidha, amesema kuanzia hivi sasa nyumba za starehe zikiwemo baa na...
Machinga mmoja ambae hadi sasa hajafahamika jina lake amepigwa vibaya na mgambo wa jiji la Arusha na hali yake inasemekana ni mbaya.
Adha hiyo imetokea mida hii ya usiku baada ya kutokea mabishano kati ya Mgambo Na machinga na hivyo Kupelekea machinga huyo kupata kipigo Kikali kutoka kwa mgambo...
Jamii Forum ni mtandao wa watu ni Jamii yenye watu wote kama tulivyo mitaani,Nimepatwa na MSIBA wa babu yangu mzaa MAMA (baba wa mama yangu) naelekea Arusha siku ya kesho Usiku mida ya saa 1 hivi nitaianza safari.
Nimetamani na nimejisikia kuomba mwana JF uliepo Arusha tujumuike pamoja kuelekea...