ardhi

  1. JamiiForums Tanzania Lukuvi ajibu tuhuma za baadhi ya wanasiasa kujimilikisha ardhi. Asema umilikishwaji hufanyika kwa kuguata sheria na hakuna kiongozi aliyejimilikisha a

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amekanusha vikali kauli iliyotolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kuwa kuna baadhi ya viongozi wamepora ardhi ikiwemo ardhi ya eneo la Mbarari mkoa wa Mbeya na kusisitiza kuwa kati ya viongozi waliotuhumiwa hakuna hata...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye ardhi ukoje

    Jamani wadau naombeni msaada naitaji kujua kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na viwanja sehemu gani zenye tija kwa uwekezaji huu hapa Tanzania kwa sasa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito ya ufisadi wa kupora ardhi mpaka sasa haijajibiwa

    Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea! Swali la msingi hapa ni je, kama tuhuma ni za uongo, kwanini ichukue muda kujibu? Tutaelewana tu mwaka...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

    Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera. Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania John John Mnyika mmea uliokosa Ardhi yenye rutuba

    Wanajamvi, Tunao wanasiasa ambao ukiwaangalia unaona kitu ndani yao. Binafsi, namuona John Mnyika Kama mwanasiasa wa upinzani asie na mawaa. I stand to be corrected. Hatahivyo, Mnyika kwasasa hayuko sehemu sahihi. Pamoja na kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA bado kwa jicho la ndani namuona John akiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu ashtushwa na kitendo cha viongozi wakuu wastaafu kuhodhi ardhi kubwa sana na kupelekea migogoro ya wakulima na wafugaji nchini

    Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu ardhi kubwa sana ya mkoa wa morogoro kumbe inahodhiwa na viongozi wakuu wa nchi wastaafu. Lissu amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Emmaus Bandekile akanyaga ardhi ya Zanzibar na kukemea hujuma na ukiukwaji wa haki katika Uchaguzi Mkuu

    Tarehe 7 Septemba 2020: Niliendelea kupaza sauti ili kutaka HAKI katika nchi. Nilionya na kutahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea kwa vurugu za kisiasa katika Visiwa vya Unguja na Pemba (Zanzibar) endapo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) haitawarejesha Wagombea wa Upinzani walioenguliwa hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Mhe. Rais na mgombea wa Chama cha mapinduzi, kunajambo yawezekana wasaidizi wako wanakuficha kuhusu migogoro ya ardhi katika eneo la ngome ya CCM Dodoma. Kumekua na migogoro ya kutengenezwa na ile iliyokuwa CDA ambayo uliivunja mara moja ili kuondoa Migogoro ya ardhi jijini Dodoma, Lakini kitu...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kufanya maombi Ardhi university

    Mbna hawanipi payment fee .. wanasema application pending
  10. JamiiForums Tanzania Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja

    Watumishi ardhi Jiji Mwanza linawaliza wananchi viwanja JIJI la Mwanza linatuhumiwa kudhurumu viwanja vya familia ya Marehemu Hassan Seif, Mkazi wa Nera wilayani Nyamagana mkoani Mwanza vilivyomilikiwa na familia hiuo tangu mwaka 1984. Viwanja vilivyochukuliwa na Jiji na kuviuza kwa watu...
  11. JamiiForums Tanzania Tutorial Assistant at Ardhi University

    ARDHI UNIVERSITY JOB VACANCIES Ardhi University has vacant position in the Academic cadre as indicated below. The University subscribes to the policy of an equal opportunity employer and therefore invites applications from candidates who are interested to work in a thriving University...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo Unayotakiwa kufanya linapotokea tetemeko la ardhi

    Kwa mujibu wa tafiti za jiolojia tetemeko hutokea mara kwa mara, lakini mara nyingi ni hafifu mno, haisikiki na binadamu ila tu inapimwa na mitambo ya wataalamu. Mara nyingine huweza kusababisha madhara kama uharibifu wa makazi na mali. Tetemeko likitokea katika eneo la bahari, basi huweza...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa kuzuia tetemeko la ardhi lisilete madhara

  14. JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu? Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC) -- Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo...
  15. JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi Dar ilitatuliwa kwa kuvunja mabaraza ya ardhi ya kata

    Baada ya aliyekuwa mkuu wa mkoa Dar kuitisha, watu wenye matatuzo ya kisheria ili watatuliwe Kero zao, majibu yalitoka kuwa kero nyingi ni za ardhi ambazo zilikuwa zinasababishwa na mabaraza ya ardhi. RC wa Dar kipindi hicho alifanya Maamuzi magumu kuyafuta mabaraza ya Ardhi na kwa kweli...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada Muongozo wa namna ya kununua ardhi ambayo tayari ipo kwenye process ya kupimwa

    Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya kuweza kununua kiwanja hiki ili kuepuka migogoro ya umiliki ambayo inaweza kuja kujitokeza baadae?
  17. JamiiForums Tanzania Kunduchi: Wapimaji Ardhi wakiuka agizo la Waziri Lukuvi

    Habarini wapendwa," Nimepita jana maeneo ya kule Kunduchi /Meko/Mtongani, kuna upimaji wa maeneo yaliyo jengwa na viwanja baada ya kurasimishwa, tatizo nililoliona kuna utapeli unafanyika. Mhe. Lukuvi alitangaza mwaka Jana mwezi Aprili kuwa gharama za kupimiwa kiwanja ni TSH 150,000/= Sasa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wa hili la ardhi

    Nina kipande cha ardhi. Ni unsurveyed nilinunua kwa mtu. Nikaenda kucheki status yake ardhi, nikakuta humo kuna ramani za open space, Msikiti, Kanisa, Soko etc. eti sehemu hizo zimeshakuwa marked for those activities. Mwenye eneo anasema hajawahi kupimiwa na hajui nani alifanya hayo. Nataka...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali isimamie kutoa fidia kwa wale wanaotoa ardhi kwa ajili ya maendeleo, watu wanalia sana

    Binafsi naiamini na kuiomba Serikali ya sasa jinsi inavyosimamia maendeleo kadhaa isimamie pale wananchi wanapolipwa pesa zao kwa kutoa ardhi kwa ajili ya serikali. Hili naamanisha ama inapovunja nyumba ama kuchukua sehemu ambayo wana haki ya kulipwa. Nimeona wengi wakiteseka hasa wanaposema...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Ndugulile tutakukumbuka kwa kuipigania ardhi yetu isiuzwe kwa mabeberu na akina Methew wa CHADEMA

    Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura. Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao. Wamedai waziri mstaafu Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…