Waziri wa Ardhi alikuwa hajui uwepo wa hati feki?

Kalebejo

Member
Sep 24, 2022
9
4
Hivi karibu Waziri wa Ardhi Mhe.Angelina Mabula akiwa ziara arusha aligudua uwepo wa hati feki na kauli ya serikali aliitoa hapo tunapaswa kumpongeza sana lakini kwa jicho la kiuandishi wa habari mimi nahelea sana kwa kauli

Nimeongea na Kada wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nera kwa miaka zaidi 30 Abubakar Hassan Self ambaye kwa miaka kadha amekuwa analia na uwepo wa hati feki katika kiwanja viwanja vyake ambavyo vipo mtaa wa Isamilo kata ya Isamilo Wilaya ya Nyamagana wilaya ya nyamagana na yeye katika mgogoro huo ameshawahi kuutatua bila mafanikio.

Kada abubakari Self anamumpa somo waziri wa ardhi asihangaike na kufanya ziara kila mkoa kilichopo yeye atangaze kufuta hati zote nchi nzima na kuanza uzishajili upya hapo pia mapato ya serikali yataonekana
Maoni ya bubakar self mtoto wa Muasisi wa Taifa hili bado anasema wizara ya ardhi chini ya Mhe.ANGELINA Mabula inaweza kuangali kiwanja no. 195 mpaka 201 kama ni uongo, kunavingine vinahati feki hata kwa kusimuliwa hati gani inaramani ya kiwanja ambacho hakina jirani jamani

Sio hadithi uthibitisho upo na vigezo vya watendaji ukapita angalia chini, tanaomba waziri uchunguzi uwepo uuzaji wa viwanja vya isamilo na uchelele ni aibuii kwa serikali ni kilio kwa wanamwanza tunajiuliza waziri Mhe. Mabula Mwanza na migogoro ya Ardhi na wewe kamanda kweli chukua hatua. Waziri kwa mgogoro wa Abubakar kuna watu utawamalizia katika sehemu ya kutoa haki ukichukua hatua za kizalendo na jina lako litasomwa katika historia kwa vizazi na vizazi kwa utendaji wako uliotukuka.

Hivi ni baadhi ya nyalaka ambazo Abubakar Self anaona Serikali inahujumiwa sana na baadhi ya watendaji.

HATI FEKI HIKI NDICHO CHANZO NA WENYE KUZITENGENEZA NI WATENDAJI WAKO.

vlcsnap-2023-01-24-14h19m17s604.png

vlcsnap-2023-01-24-14h19m57s301.png
vlcsnap-2023-01-24-14h20m48s570.png
vlcsnap-2023-01-24-14h21m20s141.png

vlcsnap-2023-01-24-14h21m56s510.png
 
Hivi karibu Waziri wa Ardhi Mhe.Angelina Mabula akiwa ziara arusha aligudua uwepo wa hati feki na kauli ya serikali aliitoa hapo tunapaswa kumpongeza sana lakini kwa jicho la kiuandishi wa habari mimi nahelea sana kwa kauli

Nimeongea na Kada wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nera kwa miaka zaidi 30 Abubakar Hassan Self ambaye kwa miaka kadha amekuwa analia na uwepo wa hati feki katika kiwanja viwanja vyake ambavyo vipo mtaa wa Isamilo kata ya Isamilo Wilaya ya Nyamagana wilaya ya nyamagana na yeye katika mgogoro huo ameshawahi kuutatua bila mafanikio.

Kada abubakari Self anamumpa somo waziri wa ardhi asihangaike na kufanya ziara kila mkoa kilichopo yeye atangaze kufuta hati zote nchi nzima na kuanza uzishajili upya hapo pia mapato ya serikali yataonekana
Maoni ya bubakar self mtoto wa Muasisi wa Taifa hili bado anasema wizara ya ardhi chini ya Mhe.ANGELINA Mabula inaweza kuangali kiwanja no. 195 mpaka 201 kama ni uongo, kunavingine vinahati feki hata kwa kusimuliwa hati gani inaramani ya kiwanja ambacho hakina jirani jamani

Sio hadithi uthibitisho upo na vigezo vya watendaji ukapita angalia chini, tanaomba waziri uchunguzi uwepo uuzaji wa viwanja vya isamilo na uchelele ni aibuii kwa serikali ni kilio kwa wanamwanza tunajiuliza waziri Mhe. Mabula Mwanza na migogoro ya Ardhi na wewe kamanda kweli chukua hatua. Waziri kwa mgogoro wa Abubakar kuna watu utawamalizia katika sehemu ya kutoa haki ukichukua hatua za kizalendo na jina lako litasomwa katika historia kwa vizazi na vizazi kwa utendaji wako uliotukuka.

Hivi ni baadhi ya nyalaka ambazo Abubakar Self anaona Serikali inahujumiwa sana na baadhi ya watendaji.

HATI FEKI HIKI NDICHO CHANZO NA WENYE KUZITENGENEZA NI WATENDAJI WAKO.

View attachment 2493941
View attachment 2493943View attachment 2493944View attachment 2493945
View attachment 2493947
watumishi wa aridhi nchii hawafai hata bule
 
Back
Top Bottom