Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,320
- 2,686
Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄.
TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile:
🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde 60. Kipengele hiki kinaanza kusambazwa duniani kwa akaunti za miaka 18+.
📊 Comment Polls — creator anaweza kuweka poll kwenye comment ya video yake, akiwa na hadi chaguo 5, na followers wapige kura moja kwa moja.
🖼️ Photo Carousel Comments — unaweza kuweka hadi picha 9 kwenye comment moja, badala ya picha moja.
📸 Live Photo Comments — Live Photo inaweza kuonekana ikiwa na muda mfupi wa movement badala ya kuwa picha tuli tu. Kipengele hiki kinapatikana kimataifa.
Kwa creators, hii ni game changer kabisa 😍🔥 Comment section sasa inaweza kuwa sehemu ya content yenyewe!
👉 Wewe ungependa kutumia feature ipi kwanza? 👀