Google imeleta matangazo kwenye simu za Google Pixel

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,321
Reaction score
2,693
Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. 😳.

Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia kukuonyesha bidhaa mpya, offers na matangazo ya vifaa vya Google.

3_20260824_080015_0002.png


🌐 Lakini kuna jambo muhimu:
Hii haimaanishi kwamba Pixel imeanza kuweka matangazo kila sehemu kwenye Home Screen au ndani ya Android. Kinacholalamikiwa zaidi ni notifications za promosheni kutoka My Pixel.

4_20260824_080015_0003.png


Lakini usiwe na wasiwasi — unaweza kuzizima notifications za promosheni kupitia:⚙️ Settings → Apps → My Pixel → Notifications → New products & offers → OFF 🔕.

6_20260824_080015_0005.png


Sema Pixel ilikuwa inajulikana kwa Android safi bila usumbufu mwingi — je, Google ndo imeanza kuleta Matangazo?
 
kama inazuilika haina tatizo kwa sababu wapo kibiashara zaidi
 
Back
Top Bottom