Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,378
- 2,821
Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ??
Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa PIN, password au fingerprint. 👀
Hapa tunazungumzia App Lock ya kawaida kabisa yaani unachagua WhatsApp, Gallery, Facebook n.k. halafu kila app inaomba PIN/password/fingerprint kabla ya kufunguka.
Mpangilio huko hivi:
Kwaiyo INFINIX ndo muanzilishi wa Mfumo wa App lock 😁 na Google Pixel ndo mtu wa Mwisho kabisa..au wewe unasemaje??

- Infinix alianza mwaka 2017 kwenye XOS.
- TECNO App Lock kwenye HiOS.
- Samsung kupitia Knox → Secure Folder haikua na app ya kawaida Kabisa.
- Google Pixel ilianza 2024 kupitia Mfumo wa Private Space ikiwa na Android 15.