Android na iOS.
Tafakari nasi- hii ni shajara, Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, tafakari ya siku na sala. Pia inafanya kazi bila mtandao.
Shajara- hii pia Ina masomo na sala ila haifanyi kazi bila internet.
Radio Maria- hii ni radio na podcast.
Auxilium Christianorum- hii Ina sala na litania ya damu ya Yesu kwa ajili ya mapambano ya kila siku ya kiroho na pepo wa chafu. Litania hiyo imedhinitika kuwa na nguvu sana.
Exorcism- hii pia Ina sala mbalimbali za kukabiliana na vita za kiroho, kama uchawi, mapepo nk.
Hallow- hii japo inahitaji internet, ni nzuri sana kwa watoto pia, Ina sala, novena, challenges, reminders za muda wa kusali. Pia wanatoa subscription bure kwa wasiojiweza.Nzuri sana.
EWTN- Hii Ina radio, masomo ya kila siku na bibilia inayofanya kazi bila internet.
Relevant radio- hii Ina radio, podcast, sala muhimu na pia unaweza kuweka Nia za misa na sala.
Intercede- hii ni kwa ajili ya novena tu. Itakukumbusha pia muda wa kusali.
Aleteia-hii utapata news za kanisa duniani kote.
Ascension - hii Ina bibilia na video kibao za tafsiri na masomo ya bibilia. Inahitaji internet.
Divine office- Hii ni kwa wale wanaopenda kusali masifu ya siku ila ni kwa kingereza, ina kengele ambayo itakukumbusha na unaweza kujua nani unasali nao kutoka kila kona ya Dunia.
Logos bible study app- hii ni kwa wale wanaopenda kuchimba bibilia vizuri, tafsiri za maneno ya kiyunani, kiebrania,kigiriki nk. Unapata kila aina za bibilia.
Ya mwisho ambayo binafsi ninaipenda sana ni iPieta. Hii Ina kila sala muhimu za mkristo mkatoliki, bibilia ya Douay Rheims, maandiko ya mababa na watakatifu wa kanisa, novena, litania zote kimsingi ni full package na haiitaji internet.