Whatsapp Kuzuia chati zako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,322
Reaction score
2,694
1_20260911_180244_0000.png


Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama.

Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale wanaopenda ku link vifaa vyao na devices nyingine.🔒


file_0000000028c081fd8f5356cb26254bc2.png

Kwa mfano: Simu yako kuu → 🔐 Restricted Chat → Linked devices → access imezuiwa zaidi huwezi kusoma baadhi ya meseji.

Hii inaweza kuwa useful kwa:
💼 Mazungumzo ya biashara
❤️ Mazungumzo binafsi
🔑 Taarifa nyeti
👥 Group zenye taarifa muhimu
📱 Watu wanaotumia WhatsApp kwenye devices nyingi.

Kumbuka hii tofauti na Chat lock 😄 hii inakua inazuia chat zako zisiweze kusambaa au kufikiwa kupitia linked Device pamoja na protections za Advanced Chat Privacy.

Usisahau kutu follow bongotech2⁵5🎮🎧 || Teknolojia ni Yetu sote 🏃 kwa maujanja zaidi ✍️.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom