android

  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 📱𝗨𝘀𝗶𝗱𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗶𝗸𝗲 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗰𝗼𝗱𝗲 *#*#𝟰𝟲𝟯𝟲#*#*!

    🔥 Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? ❌ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. 📶 ⚠️ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗡𝗲𝘁𝗳𝗹𝗶𝘅 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺 𝗿𝗲𝗲𝗹𝘀

    Netflix imezindua Netflix Clips 🎬🔥 Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla ya kuanza kutazama filamu nzima. Je, unaonaje hii njia mpya ya kugundua burudani? 🍿📱
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kumbe Infinix ndio mwanzilishi wa app lock kwenye simu za Android ulimwenguni

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mfumo wa app lock muanzilishi ni Infinix sio Samsung

    Je kati ya Samsung, TECNO, Infinix na Google Pixel nani muanzilishi wa kutumika Mfumo wa App lock kwenye simu za Android ?? Kabla Google Pixel haijaja na Private Space, na kabla mambo ya privacy kuwa sehemu kubwa ya Android, baadhi ya watengenezaji simu walikuwa tayari wanakupa uwezo wa kufunga...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google imeleta matangazo kwenye simu za Google Pixel

    Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. 😳. Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia kukuonyesha bidhaa mpya, offers na matangazo ya vifaa vya Google. 🌐 Lakini kuna jambo muhimu: Hii...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google imeachia update ya Android 17 QPR Beta 1 kwa watu wa Pixel

    Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. 📱⚡ Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je 🚀 Nini kipya kwenye Beta 9 ? 🔄 Fix ya reboot loop...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Android Smartphones: Nazipenda sana Samsung lakini nalazimika kuichagua Pixel sababu ya kamera kali na size ndogo ya kuenea kirahisi kiganjani.

    N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26) Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana 📸🔥. Ukilinganisha na S25 na S26...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue Android Box kwa ajili ya TV yako

    Android box ni kifaa kidogo cha kielektroniki kinachounganishwa kwenye televisheni yako kupitia waya wa HDMI ili kuifanya TV ya kawaida au ya kisasa kuwa na uwezo wa kutumia mtandao. Kifaa hiki hutumia mfumo wa uendeshaji wa Android, ikuruhusu kupakua programu mbalimbali kama vile YouTube na...
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Pixel 11 vs S26: nani Mfalme Mpya wa Android?

    Google Pixel 11 vs Samsung Galaxy S26: Je ipi simu bora kabisa ya android kwa sasa kati ya hizi? --- Google na Samsung zimeingia tena kwenye ushindani wa kutafuta mfalme wa Android. Pixel 11 inaegemea zaidi kwenye AI, kamera na uzoefu rahisi wa matumizi, huku Galaxy S26 ikijikita kwenye nguvu...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google Pixel imeweka Mfumo wa App lock baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi

    Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! 😍📱 Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern. Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya tetesi mpya za One UI 9.5.

    Habari za wakati huu wana JF, huu ni uzi mahususi kwa ajili ya kujuzana tetesi mpya za One UI 9.5 kwa kadri zinavyozidi kuvuja na kusambaa. Ni takriban miezi mitatu sasa tangu Samsung walipoachia One UI 9.0 beta katika series za S26 katika baadhi ya maeneo. Hata hivyo tukiwa tupo karibu kupata...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google Assistant unaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google assistant inaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp 👋, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! 📱📞 Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. 👀🔥 Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania List ya Samsung zitakazo pokea mfumo mpya na ratiba kamili

    Watumiaji wa Galaxy, jiandaeni! Samsung inaendelea na mpango wa kuleta Android 17 kupitia One UI 9, na simu nyingi za Galaxy zitaingia kwenye orodha ya kupata mfumo huu mpya. 🤯 Kama unatumia Galaxy, hizi ni baadhi ya simu zinazotarajiwa kupata Android 17, kwa mpangilio wa awamu: MEI–JUNI 2026...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayo

    Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu ila sio zote. Mfumo huo umekuja ukiwa na maboresho kadhaa kuanzia upande wa Muonekano (Themes &...
  17. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Hali na mali. App ya android niangalie mechi za leo WC

    Sikufanikiwa kuangalia mechi hata Moja, Nime download za yassine wapi. Sijui kombe hili Lina nini Naomba app yyt niangalie kwenye mobile. Sitaki za streaming nataka live Za yaccine sijui nafeli wapi? Ona hii
  18. E

    JamiiForums Tanzania ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

    kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Game la Drafti - Checkers/Draughts/Dama: Backrow Rush

    Kuna Game la Drafti linaitwa Backrow Rush ni zuri sana. Linapatikana Play store kwa jina Backrow Rush Naomba msaada wa kulijaribu na mnipatie maoni yenu kipi cha kuboresha na kuongeza. Kwa sasa inafanya yafuatayo. Wachezaji Wengi Mtandaoni (Online Arena) – Cheza na wachezaji kutoka sehemu...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Android inauza simu mara 4 zaidi kuliko Apple kila mwaka, lakini Apple inaongoza kwa mapato

    Mwaka 2025, Android ilisafirisha simu 1,000,000,000 huku iPhone ikisafirisha 240,000,000, hivyo kwa idadi ya vifaa Android iko ligi tofauti kabisa. Hata hivyo, bei ya wastani ya iPhone ni dola 1,060 sawa na Tsh. 2.756 Milioni, ikilinganishwa na dola 370 sawa na Tsh 962,000 kwa simu za Android...
Back
Top Bottom