Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,355
- 2,768
Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? ๐๐ฅ
Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE โ ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja mfuko. ๐ฏ
Kwa matumizi ya kila siku kama WhatsApp, TikTok, YouTube, Facebook na browsing, hii ni moja ya budget phones zinazostahili kuangaliwa. ๐ฅ
Specs Zake kwa ufupi tu:
๐ฏ 120Hz Display
๐ 5,000mAh Battery
โก 15W USB-C Charging
๐พ 128GB Storage unaweza kuhifadhi vitu vingi.
๐ก๏ธ IP65 Protection yenye uwezo wa kuzuia vumbi na maji Kuingia kwenye simu yako.
๐ถ 4G LTE kwenye intaneti ni Kasi tu.
๐ฌEbu tuambie Wewe ungechagua itel A200 kwa matumizi yako y
a kila siku ?