Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,292
- 2,613
Netflix imezindua Netflix Clips ๐ฌ๐ฅ
Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla ya kuanza kutazama filamu nzima.
Je, unaonaje hii njia mpya ya kugundua burudani? ๐ฟ๐ฑ