Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,754
Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu ๐
WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili โก๐ฑ
Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2ร speed. Ukiachia, itarudi kwenye kasi ya kawaida. Hii ni habari njema kwa wale wanaopenda kupitia Status nyingi kwa muda mfupi bila kukaa muda mrefu kwenye kila video. ๐๐ฅ
๐ฒ Kipengele hiki bado kinaendelea kutolewa hatua kwa hatua, hivyo kama bado hujakiona kwenye WhatsApp yako, usiwe na haraka kinaweza kufika hivi karibuni.