Alama nyekundu kabisa hii

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Natumai mu wazima kabisa humu . huku kimvua tu nje kinapiga cha wastani.

Tena hichi kimvua ndo kimenipa mawazo kabisa yan.Aisee Leo zinatimia wiki mbili naona kama tumeliana buyu na mama mtu. Yan sijaona text yake wala call yake.Sasa hii ni kiasi gani inaonyesha kwamba nikikaa kimya na yeye anakula buyu( anauchuna)

Yan hata kuniuliza naendeleaje ,kam naumwa je nipo hoi taabani ,nipo kitandan sijiwezi, hii ni alama nyekundu kabisa kwamba nimedandia treni kwa mbele.xema safi tu atanitafutaa na Mimi naendelea kuuchuna hivi hivi.

Nb: ila kw hii taa eeehh. Nishajua wananipigia wenzangu
 
mawasiliano ni "two way" kama unategemea mawasiliano ni mama mtu kukutafuta peke yake basi upo wrong kabisa.....
 
Jiongezee mkuu ,kama anakutegemea wewe umtafute na usipomtafuta anakaa kimya bhaaaaas hapo huna mtu

Achana na hiyo mbuzi haikuwaziiiii
 
Dah! Mawasiliano ya upande mmoja Ni mabaya sana na yanakatisha tamaa, ukiona hivyo juaKuna mpango wa kando.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom