ajira

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge mmemaliza muda wenu msirudi Dodoma kupiga mizinga. Pesa zenu ziwekeze mzalishe ajira; msizitumie kwenye rushwa ya kuomba kura

    wana JF Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela. Sisi wasio na kazi tunangoja hela zenu zitutengenezee ajia. Muigeni Mh. Pinda anafuga Nyuki, anafuga...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumetengeneza ajira laki 6.5 | Rais: Tumetengeneza ajira milioni 6+; Nani tumwamini?

    Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+. Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ulipotaja kuwa umezalisha ajira milioni 6 huoni kuwa unanidanganya hata mimi?

    Rais wangu, hivi unajua kuwa pamoja na kukupinga sana ila ni miongoni mwa watendaji wako wasaidizi wakuu ndani ya serikali? Kwa taarifa yako ninasimamia moja ya taasisi ambazo kwa siku za hivi karibuni umeelekeza macho yako yote pale. Nipo na vijana wako unaowatuma kila siku na mambo yanaenda...
  4. JamiiForums Tanzania Waliosoma BCOM UDSM na shida ya vyeti vyao kwenye ajira

    Kama mnakumbuka miaka ya nyuma wale waliosoma BCOM University of Dar es salaam walikuwa wanamajor au wanachagua kwenye core kozi mwaka wa pili kama utasomea accounting,human resources, management science,finance au banking. Lakini ukimaliza chuo mwaka wa mwisho vyeti vyao havikuandikwa kwamba...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Utalii Ajira zazidi kupotea tuwaombe wenzetu-Arusha

    Hali si swari kwa wenzetu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Trump aanza kuirudisha Marekani mahala pake, mwezi May aongeza ajira mpya 2.5M

    Ndio maana mimi sio muumini wa hizi zinaitwa projections au utabiri kutoka kwa wataalamu au wachambuzi wa utabiri sijui analysts projects this, projects that. Mimi hua nasema hizi ni sawa na usoma nyota na upiga ramli. Kwa mfano wanaoitwa wataalamu wa uchambuzi walitabiri Afrika tutakua na vifo...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

    Nimepokea ujumbe huu, "CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una...
  8. JamiiForums Tanzania Kimenuka: UVCCM Zanzibar warejesha kadi Kisiwandui, kumbe walitapeliwa kwamba watapewa ajira, imebainika ni uongo!

    Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira . Leo baada ya danadana za kipindi kirefu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa ajira na ukweli kuhusu Tanzania ya viwanda

    Anaandika John Sm Mgejwa Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Changamkieni Fursa za AJIRA Kiwanda cha sukari Turiani-Mtibwa May 2020

    Kiwanda cha sukari Mtibwa Turiani kinatangaza fursa za ajira ya ukataji miwa kwa watanzania wenye umri kuanzia miaka 20-35, sifa za mwombaji awe ni mtanzania, aweze kufika kiwandani kusajiriwa akiwa na vitu vifuatavyo paspot size nne, kitambulisho cha mpiga kura au cha taifa, aje na kadi ya ATM...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenu Sekritarieti ya Ajira - Utumishi: Fanyieni kazi hili wazo maana ajira za serikali sio bahati na sibu au sandakalawe

    lengo la kuanzishwa kwa kitengo hichi ndani ya utumishi ni kuhakikisha nafasi za kazi zinazotolewa na serikali na taasisi zake zinapatiwa wahusika kwa haki sawa maan binafsi nionavyo ajira sio bahati na sibu au sandakalawe ni haki ya kila mtanzani mwenye sifa sitahiki. Kuna system yenu mnaiita...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa uvuvi kupata ajira kimataifa

    WATAALAMU wa vyombo vya uvuvi nchini wataanza kuajiriwa kitaifa na kimataifa, baada ya Bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa viwango vya mafunzo na utoaji vyeti kwa wafanyakazi wa vyombo vya uvuvi wa mwaka 1995 Mawasiliano, Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, alisema kuridhiwa kwa mkataba...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Tanzania kazi ni nyingi ila ajira ni chache

    Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum. Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina...
  14. JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa. 2. Mfumo...
  15. JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili kwenye kichwa cha barua ya maombi ya ajira /kazi

    Habari vijana wenzangu? Sehemu iliyopita nilionyesha makosa wanayofanya vijana katika kuomba kazi hususasani kwenye taasisi za serikali. Leo pia nitaeleza shortly juu ya kosa moja dogo nililoliona kwa vijana wetu Tanzania. Kabla hujatuma maombi ya kazi jua kuwa hilo tangazo limetazamwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Madakitari nje nje

    Wizara ya Afya imetoa majina ya Madakitari daraja la pili walio ajiriwa wapya
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hali na Changamoto za dunia ya Sasa katika ajira, Kuna umuhimu mkubwa sana kupata elimu katika vyuo vya nje

    Huku bado lock-down inaendelea wakuu japo Cha kushukuru ni maambukizi mapya yamepungua sana na huenda masharti yakalegezwa siku za hivi karibuni, lakini kipindi hiki ambacho hatuna ratiba nyingine nimeamua tuwe tunajadili mambo muhimu na yenye afya kwa vijana wenzangu. Leo tujadili hasa umuhimu...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika kujua utaratibu wa hizi ajira za utumishi wa mahakama, kipengele cha masharti ya uombaji

    Aidha, inasisitizwa kwamba: - 9.1 Waombaji wawe na umri kati ya miaka 18 na 44 9.2 Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa W ilaya anayoishi mwombaji. 9.3 Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa. 9.4 Waombaji walioacha kazi katika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kulinda ajira yako fanya yafuatayo

    1. Toa majibu ambayo mwajiri wako anayataka. Jitahidi ujue anataka majibu gani mpe hayo hayo. hapa ndipo pagumu lakini pafanyie kazi kutoka watu wake wa karibu 2. Kaa kimya inapowezekana. 3. Jishushe mbele yake, kuwa mnyonge
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Boeing 16,000 watapoteza ajira baada ya kampuni hiyo kupata hasara

    Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na janga la #CoronaVirus. Uhitaji wa huduma za ndege umepungua kwa kiasi kikubwa Boeing imepata hasara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…