ajira

  1. Jebel

    JamiiForums Tanzania Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Habarini wapendwa.
  2. mshale21

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa COVID-19 umesababisha migogoro ya ajira kuongezeka

    Tumeya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Ajira imesema baada ya kuibuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 imepokea migogoro inayofi kia 18,222 kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu. Kaimu Msemaji wa tume hiyo, Nahshon Mpula alisema hayo alipozungumza na televisheni ya Azam. Alisema ongezeko la...
  4. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
  5. Peter Stephano 809

    JamiiForums Tanzania Suala la ajira kwa vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee

    Na Peter Mwaihola Sio ajabu kwa sasa kupita mtaa mmoja na kukuta Video Library zaidi ya 20 ambapo kila baada ya nyumba 3 unakuta library. Hali hii inadhihirisha ni namna gani suala la ajira kwa Vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee. Kumekuwa na ombwe la Vijana wabunifu...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Domestic workers ni ajira inayohitajika sana Oman, kuna umuhimu wa kuiboresha

    Wasaidizi wa ndani wanahitajika duniani kote. Nchi za Magharibi zimeboresha mikataba na maslahi ya wafanya kazi wa ndani, matokeo yake ni wachache wenye uwezo wa kuajiri wafanya kazi hao. Hao wachache wanaopata ajira wana mikataba ya kazi, likizo kila mwaka, malipo wakiwa wagonjwa, kiinua mgongo...
  7. Midevu

    JamiiForums Tanzania Sio mbaya kuiga ubunifu huu wa majirani ili kupunguza tatizo la ajira

    Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao. Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jukumu la kutengeneza ajira lianzie kwenye ngazi ya familia

    Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri, Hapa nchini kwetu...
  9. lodirofaa

    JamiiForums Tanzania Ni vipi naweza kupata kazi Japan?

    Habari wakuu, Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter.
  10. Desi P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora ya kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tatizo la ukosefu wa ajira ni janga ambalo lipo duniani kote, lakini ukubwa wa tatizo hili hutofautiana baina ya nchi moja na nyingine, mathalani nchi ambazo zimeendelea tatizo la ukosefu wa ajira ni dogo sana ukilinganisha na nchi zinazoendelea kama nchi yetu Tanzania. Kinachosababisha kuwepo...
  11. Parody

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Tax Officers waahirishwa

    Juzi kuna mdau aliandika kuwa mitihani ya usaili wa Tax Officers wa TRA umevuja na walikuwa wanasove pepa wakiwa kwenye magari kuelekea Dodoma kwenye usaili. Sasa sekretariet imesema usaili umeahirishwa bila hata kutoa sababu zinazoeleweka. Kuna kaharufu ka uozo hapa. Pia, Soma=> Mtihani wa...
  12. skilled masala

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maadhimisho ya Sherehe za Nane Nane yatatue tatizo la Ajira kwa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini

    Masala sayi 08, August 2021 Chuo Kikuu cha Iringa. Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
  13. MRAMIRA

    JamiiForums Tanzania SoC01 Athari za mfumo wa elimu na ongezeko la wasomi wasio na ajira, nini kifanyike

    UTANGULIZI Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania wanajiuliza bila kupata majibu ya maswali haya: Je suala ni wasomi wenyewe je ni ukosefu wa stadi...
  14. Honorable GPA

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi ajira 40,000 alizotuahidi Rais Samia?

    Nakumbuka siku ya mei mosi mwaka huu, mheshimiwa Rais alituhaidi kwamba serikali yake inatarajia kutoa ajira za kudumu 40000 kwa vijana mwaka huu. Hata bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo utekelezaji wake umeanza mwezi wa saba pia inazungumzia hicho kitu. Japokuwa...
  15. Munirah seiph

    JamiiForums Tanzania Nina uzoefu wa kazi za usekretari, natafuta Ajira

    Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na maswala mengine nilishawahi kufanya Kazi za Secretary Katika Ofisi ya madai ya mikopo Bin Huwi na...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ikubali uraia pacha na kutoa likizo ya kodi kwa wawekezaji wazawa ili kuchochea ajira

    Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa. Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kujitolea ya muda afya ya mifugo

    Habari ndugu zangu watanzania Mi ni kijana umri miaka 25 Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama na uzalishaji Muda ni miezi miwili tu kuanzia september mpaka november
  19. MaalimJohn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ni kwa namna gani tutapunguza tatizo la ajira kwa vijana kutoka vyuoni

    NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu Ila kwa elimu...
  20. The Digital Prowess

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukosefu wa ajira au ubunifu?

    Mfumo wetu wa elimu nchini Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika zilianzia nyakati za baada ya ukoloni. Waliotuletea elimu nia yao ilikuwa kutufanya "watumwa katika fikra zetu" kwa sababu tulikataa kuendelea kuwa watumwa katika mashamba yao. Embu fikiria, unapoamua kuwa Daktari, Mhasibu...
Back
Top Bottom