Kuna vijana wahitimu wa vyuo vikuu wengi wameajiriwa kwa mikataba ya kujitolea serikali za mitaa serikali kuu na mashirika ya umma.
Hakika inauma sana unapoona mtu amesota miaka miwili halafu nafasi imetoka anaomba halafu anapewa mtu mpya hajatoa jasho lolote kujitolea.
Kwa vyovyote yafaa...
Mafundi ujenzi, plumbers, carpenters wenye uzoefu wanahitajika.
Wawe wenye kuijua kazi zao na kuweza kusimamia wengine wasio na uzoefu. Wakiweza kufundisha itakuwa ni plus.
Location yetu ni Misugusugu, Kibaha, Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Kazi zinaweza kuwa za kusafiri na kuhamahama.
Kwa maelezo...
Ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu hapa nchini,Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba ameshauri vyuo vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili wanafunzi.
Amesema wazazi wengi hasa vijijini wanatumia wamechoshwa na mfumo wa elimu jinsi unavyofilisi...
Kutokana na vijana wengi kupitia changamoto mara baada ya kumaliza masomo. Nimeona niandike uzi huu ili kutoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali kuhusu changamoto ya ajira na kujiajiri.
Ningependa kupata maoni mbalimbali ya wadau kwa maana wanafunzi, watafuta ajira, waajiri...
Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
Viongozi wengi hasa wale wakubwa wamekuwa na tabia ya kusimamia na kuahidi Mambo mbali mbali lakini hayatekelezwi ipasavyo.
Mambo mawili; la Kwanza ni ahadi nyingi za ajira kwa vijana lakini utekelezaji wake ni hafifu.
Pili ni swala la kushugulikia gharama za vifurushi vya kupiga simu...
Uzushi huu hapa:
Wapinzani wamechukua na kuviunganisha vibango vinne vya mtandaoni (infographics) vinavyotengenezwa na Ayo TV vyenye taarifa ya idadi ya ajira zitakazotolewa na Serikali kwa nyakati tofauti huku vikionesha mkakanganyiko kuhusu jumla ya watu watakaoajiriwa na Serikali.
- Kibango...
Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
Ndugu zangu naomba kuuliza katika hii.
Ili tuache utani katika swala la ajira.
Swali langu ni kwamba: Inamaana ajira zote serikalini huwa ni kwa walimu na watu wa afya tu. Vipi kuhusu fani zingine?
INTERNSHIP OPPORTUNITY
Position: Accountant cum Sales
ECOACT Tanzania, is a social enterprise based in Tegeta DSM, Our core business is transforming plastic garbage to manufacture plastic timbers used for building, construction ad well as furniture making.
Requirements
a) Diploma/ degree in...
Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege,
Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
SAFARI YA KUZAMIA AFRIKA YA KUSINI KWA NJIA ZA PANYA
Sehemu ya kwanza.
Utangulizi
Mimi ni mtanzania mzaliwa wa Mbeya. Kwa sasa umri wangu ni wa kutosha kidogo kwa sababu nipo duniani tangu miaka ya 1980.
Wakati nasoma shule ya msingi kwenye miaka ya 1990 hivi tulikuwa tunaimba nyimbo maarufu...
Tatizo la ajira za umma huanza taratibu na baadaye kuwa kubwa na sugu kabisa.
Lakini hata hivyo, zipo njia sahihi za kufanywa na jamii ikiongozwa na serikali ili kukabiliana kikamilifu na tatizo hili.
Tangu awamu ya 5 ya Utawala wa serikali,na hata awamu hii ya 6,tunaona suala la ajira kwa...
Amani iwe nanyi wakuu!
Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
Natumaini mko salama ningependelea kwa yeyote mwenye connection au ushauri wa kiwanda gani naweza kupata ajira haijalishi ni ya muda mfupi au laa.
Nitafanya kazi yeyote itakayokuwepo japo sina professional yeyote niliishia tu kidato cha nne. Nipo dar es salaam
Mawasiliano:+255 743 424 506
Habari zenu wadau?
Wadau naomba kuuliza kwa wale wenzangu na Mimi tunaolipwa fao la kutokuwa na ajira, naomba kuuliza kwa wengine je mmeshalipwa malipo ya mwezi huu wa nne maana kwangu mpaka tarehe ya Leo bado sijaona salio likisoma naombeni majibu wadau.
Ahsanteni sana.
Muda/umri wa kustaafu Serikalini ikiwemo sekta binafsi.
Wafanyakazi wote wapunguziwe umri wa kustaafu na kuwa walau miaka 55 badala ya 60, siku hizi life span ya mwanadamu imekuwa ndogo, hii itasaidia watoke na walipwe stahiki zao mapema na kuzifurahia wakiwa na nguvu angali wako hai. Pia hii...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri.
Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.