Easy Skills Kuanzia Kama Freelancer (Fursa Kwa Wote)

Oct 19, 2020
62
150
What's Up, Guys! :)

Najua kuna graduates humu wanaulizia ajira, but vipi ushawaza kujiajiri kama huipati hyo ajira? Najua kisingizio kitakuwa mtaji na factors nyingi ambazo siwezi kuwalaumu. All because ndio elimu yetu ilivyotuandaa, ku blame system na kufukuzia ajira.

So, nimeona nifanye ku-share hii thread. what i think inaweza kuwasaidia wengi wenye uhitaji wa ajira kwa wakati huu mgumu.

Unaweza kuwa na idea kuhusiana na freelancing ama unaweza kuwa umeshaanza and maybe unaweza kuwa umeona mafanikio. Na Kama huna idea yoyote kuhusiana na freelancing, then check my previous threads for an in-depth explanation.

Kwa kifupi, Freelance, freelancer, au freelance worker, ni terms zinazotumika hususa ni kwa mtu ambaye ni self-employed na si lazima kuwa committed na kazi au client/customer wake, Unaweza fanya kazi kwa masaa au mkataba wa mda fulani popote pale ulipo. - Ni kama kuuza bidha, lakini kwa freelancing si bidhaa tena bali ni service.

Ili weza kupata pesa as a freelancer inahitaji uwe na skill/ujuzi ambayo uta -offer kwa client/customer wako. Ujuzi unaweza kuwa wa aina yoyote ile. Mfano, uandishi - vitabu na blogs nyingi huandikwa na freelancers na sio book owners, most book owners just have ideas and dont write the book at all, also photo editing, graphic designing, virtual assistance, web designing, digital marketing na nyingine sana.

So, Vipi kama unahitaji kuanza freelancing na hauna skills au idea yoyote ile?

Nina imani kila mtu ana skills ila kulingana na mazingira sometimes ina kuwa ngumu kuelewa ujuzi wako, Lakini hiyo isiwe sababu ya kutofanya freelancing na kujipatia kipato kujikimu mahitaji yako. Kumbuka, unaweza pia offer service uliyosomea, lets say utunzi, uhasibu, web developing na nyingine nyingi.

Hivyo, Kwa ambaye hayupo confident na elimu yake as a freelancing skill au hana ujuzi wowote - then, hizi skills unaweza kuoffer as a freelancer.

1. Image Background removing.

Wakati naanza freelancing fiverr, hii ndio ilikuwa my first service/gig - Sikuwa na ujuzi wowote wa adobe photoshop wala photo editing. Lakini niligundua website ambayo ilifanya kazi badala yangu. Nilijaribu websites nyingi lakni hii ndio iliyofanya background removing professionally. Unaweza icheck (remove. bg) for JF policy purpose sijaiandika as a link.

Unachohitaji kufanya ni kulist gig/service ya ku-remove image background, na kila unapopata order. just simply upload image na background itakuwa removed within seconds. Najua hii ina-Sounds very simple lakini that's it. Don't take it for granted just because it's free. Nimeandaa video for more details about this service.

2. Simple Logo Creation.

Moja ya service inayoongoza kwa orders Fiverr na most freelancing platform, ni Logo creation and designing. Kama huna ujuzi wowote wa logo designing then i got you covered, Kama ni internet savvy then utakuwa usha create logo online once or twice with just entering your brand name na kuchange colors, Hii unawea fanya kwa kutumia online web services kama
Adobe Spark Logo Maker, Shopify Free Logo Generator. Canva Free Online Logo Maker. Wix Online Logo Generator. Squarespace Free Logo Maker. DesignHill Free Logo Generator. Zyro Free Logo Maker. na TailorBrands Free Logo Creator.

Kumbuka, list your gig as "simple" logo design since most of these website provides professional but not a full kit design (Aina za logo files. ie, PNG, SVG, .ESP and more)

3. Data Entry And web scrapping.

Personally sijawahi fanya hii service lakini nina marafiki (nina watu 🤣) ambao hawakuwahi kuwa na ujuzi wowote wa data entry lakini wanafanya vizuri kwenye hii service. Mfano wa data entry ni kuhamisha details kutoka file moja kwenda lingine, inaweza kuwa microsoft excel to pdf or vice versa. I'm pretty sure hii mtu yoyote anaweza fanya bila kujali hata experience. Ila tu inakupaswa uwe makini na details na fast kulingana na deadline.

Web scrapping ni namna ya ku-extract data. mfano kuextract emails kutoka katika website/software. Unaweza pata kazi ya kuscrap emails 1000 za managers wa makampuni fulani kutoka katika linkedn profiles. Hii unaweza fanya easily kwa kutumia software ambayoo itarahisisha mambo. Video coming soon on youtube.

4. Web research

Unaweza list service ya web research, most people kama book writers, environmentalists, engineers na wengine wengi hukusanya data through the internet, hivyo huajiri freelancers to research the data and organize it for them. most topics huwa zime-base kwenye Technology, Religion, Social media, Music, Education, Health, Social issues na Environment.

Unachohitaji ni kuwa na uelewa mzuri wa ku-google mambo, that's it.5. Your Local Language Translation to English

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba wanaofaidikana hii service wengi wao ni waKenya, No offense lakini, WaTanznia kwa namna fulani tumelala. Najua watanzania wapo wanaouza hii service lakini hawapati orders, So in the future threads, i’ll be explaining all the best ways that unaweza pata orders haraka iwezekanavyo as a new or beginner freelancer with the same kind of services nime elezea.

Thanks and until next time! If you enjoyed the content, dont forget to like the thread na kunipa hizo trophies,😄 kama una swali, ni vyema kuuliza pia.
 
Sep 13, 2015
49
125
What's Up, Guys! :)

Najua kuna graduates humu wanaulizia ajira, but vipi ushawaza kujiajiri kama huipati hyo ajira? Najua kisingizio kitakuwa mtaji na factors nyingi ambazo siwezi kuwalaumu. All because ndio elimu yetu ilivyotuandaa, ku blame system na kufukuzia ajira.

So, nimeona nifanye ku-share hii thread. what i think inaweza kuwasaidia wengi wenye uhitaji wa ajira kwa wakati huu mgumu.

Unaweza kuwa na idea kuhusiana na freelancing ama unaweza kuwa umeshaanza and maybe unaweza kuwa umeona mafanikio. Na Kama huna idea yoyote kuhusiana na freelancing, then check my previous threads for an in-depth explanation.

Kwa kifupi, Freelance, freelancer, au freelance worker, ni terms zinazotumika hususa ni kwa mtu ambaye ni self-employed na si lazima kuwa committed na kazi au client/customer wake, Unaweza fanya kazi kwa masaa au mkataba wa mda fulani popote pale ulipo. - Ni kama kuuza bidha, lakini kwa freelancing si bidhaa tena bali ni service.

Ili weza kupata pesa as a freelancer inahitaji uwe na skill/ujuzi ambayo uta -offer kwa client/customer wako. Ujuzi unaweza kuwa wa aina yoyote ile. Mfano, uandishi - vitabu na blogs nyingi huandikwa na freelancers na sio book owners, most book owners just have ideas and dont write the book at all, also photo editing, graphic designing, virtual assistance, web designing, digital marketing na nyingine sana.

So, Vipi kama unahitaji kuanza freelancing na hauna skills au idea yoyote ile?

Nina imani kila mtu ana skills ila kulingana na mazingira sometimes ina kuwa ngumu kuelewa ujuzi wako, Lakini hiyo isiwe sababu ya kutofanya freelancing na kujipatia kipato kujikimu mahitaji yako. Kumbuka, unaweza pia offer service uliyosomea, lets say utunzi, uhasibu, web developing na nyingine nyingi.

Hivyo, Kwa ambaye hayupo confident na elimu yake as a freelancing skill au hana ujuzi wowote - then, hizi skills unaweza kuoffer as a freelancer.

1. Image Background removing.

Wakati naanza freelancing fiverr, hii ndio ilikuwa my first service/gig - Sikuwa na ujuzi wowote wa adobe photoshop wala photo editing. Lakini niligundua website ambayo ilifanya kazi badala yangu. Nilijaribu websites nyingi lakni hii ndio iliyofanya background removing professionally. Unaweza icheck (remove. bg) for JF policy purpose sijaiandika as a link.

Unachohitaji kufanya ni kulist gig/service ya ku-remove image background, na kila unapopata order. just simply upload image na background itakuwa removed within seconds. Najua hii ina-Sounds very simple lakini that's it. Don't take it for granted just because it's free. Nimeandaa video for more details about this service.

2. Simple Logo Creation.

Moja ya service inayoongoza kwa orders Fiverr na most freelancing platform, ni Logo creation and designing. Kama huna ujuzi wowote wa logo designing then i got you covered, Kama ni internet savvy then utakuwa usha create logo online once or twice with just entering your brand name na kuchange colors, Hii unawea fanya kwa kutumia online web services kama
Adobe Spark Logo Maker, Shopify Free Logo Generator. Canva Free Online Logo Maker. Wix Online Logo Generator. Squarespace Free Logo Maker. DesignHill Free Logo Generator. Zyro Free Logo Maker. na TailorBrands Free Logo Creator.

Kumbuka, list your gig as "simple" logo design since most of these website provides professional but not a full kit design (Aina za logo files. ie, PNG, SVG, .ESP and more)

3. Data Entry And web scrapping.

Personally sijawahi fanya hii service lakini nina marafiki (nina watu ) ambao hawakuwahi kuwa na ujuzi wowote wa data entry lakini wanafanya vizuri kwenye hii service. Mfano wa data entry ni kuhamisha details kutoka file moja kwenda lingine, inaweza kuwa microsoft excel to pdf or vice versa. I'm pretty sure hii mtu yoyote anaweza fanya bila kujali hata experience. Ila tu inakupaswa uwe makini na details na fast kulingana na deadline.

Web scrapping ni namna ya ku-extract data. mfano kuextract emails kutoka katika website/software. Unaweza pata kazi ya kuscrap emails 1000 za managers wa makampuni fulani kutoka katika linkedn profiles. Hii unaweza fanya easily kwa kutumia software ambayoo itarahisisha mambo. Video coming soon on youtube.

4. Web research

Unaweza list service ya web research, most people kama book writers, environmentalists, engineers na wengine wengi hukusanya data through the internet, hivyo huajiri freelancers to research the data and organize it for them. most topics huwa zime-base kwenye Technology, Religion, Social media, Music, Education, Health, Social issues na Environment.

Unachohitaji ni kuwa na uelewa mzuri wa ku-google mambo, that's it.5. Your Local Language Translation to English

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba wanaofaidikana hii service wengi wao ni waKenya, No offense lakini, WaTanznia kwa namna fulani tumelala. Najua watanzania wapo wanaouza hii service lakini hawapati orders, So in the future threads, i’ll be explaining all the best ways that unaweza pata orders haraka iwezekanavyo as a new or beginner freelancer with the same kind of services nime elezea.

Thanks and until next time! If you enjoyed the content, dont forget to like the thread na kunipa hizo trophies, kama una swali, ni vyema kuuliza pia.
Upwork inanisumbua Sana kwenye kuregister Kuna ugumu sehemu?
 
JESONS

Member
Aug 28, 2021
29
45

Barikiwa mkuu kwa elimu hii but nilipenda nije pm but cjui ni vp inafanyika naitaji nikuone unielekeze hii kitu ata kama ni kw njia ya watsap mkuu my no 0764161048
 
JuniorGee

Senior Member
Jan 26, 2018
132
225

Nice!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom