Binadamu amezaliwa na evilness yaani tangu yumo tumboni mwa mama yake
Nilikuwa nalaumu sana kwanini wafanyabiashara wakubwa wanakuwa makauzu sana au wana roho fulani hivi. well..hii tabia hujengwa kutokana na dissapointments wanazokutana nazo kutoka kwa watu waliowaajiri, tena sanasana ngozi...
Waziri mhagama amewaka kisa wageni kucheleweshewa vibali vya kazi, ni vyema akatueleza ni wageni wapi? wanafanya kampuni gani? ujuzi wao ukoje? sisi tumeshindwa hata kufunga gear box za udart, vijana wamekimbilia kwa wachina nako mnaleta wageni sasa wakafanyekazi wapi? hata huko jkt walikokuwa...
Najua humu jukwani kuna kila aina ya watu toka katika sekta zote, ninaamini hata hili nitajibiwa kikamilifu.
Napenda kujua zile nafasi mbalimbali za vibarua zinazotangazwa na halmashauri za miji mfano kinondoni,tabora nk,hasa vibarua wanaopewa mashine kwa ajili ya ukusanyaji mapato kwenye...
Umetumia kama milioni 10 hivi ukiwa chuoni ukitegemea ipo siku utaajiriwa ila hadi sas hakuna dalili.
Mbaya zaidi wale waliofurahia mikopo ya takribani milioni 12 hadi wamalize elimu zao kwa sasa wana madeni mazito maana kuna penati ya asilimia 10 na tozo ya asilimia 6 kila mwaka.
Mttani...
Habari za jioni wanajamvi,
Nahitaji mchango wenu kwenye hili, Mimi ni mhitimu wa chuo kwenye course ya Bsc in industrial engineering management, natafuta kazi kitengo cha quality control.
Ninamatumaini kutoka kwenu
DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli
Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
Job Summary
We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE.
Job Description
A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine.
Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu.
Course: INFORMATION TECHNOLOGY...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UPDATES:
Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake.
HOTUBA YA RAIS...
ajira
atcl
bungeni
changamoto
haki
historia
hotuba
hukumu
kikuu
kufanya
madaktari
magufuli
mahaba
maji
mama samia
moyo
nchi
ndege
ngumu
rais
samia
samia suluhu
serikali
somo
viongozi
wabunge
wanawake
wengi
Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;-
1.Hali ikoje kwa sasa?
2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu?
3.Tatizo hili linasababishwa na nini?
4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo.
CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo.
Chanzo: TBC
Nawasalimu kwa JMT.
Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona.
Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi.
Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa.
Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki.
Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira.
Watumishi waliambia...
Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA
Ukweli ni kwamba ajira huenda zikawepo ila siyo kwa watanzania
Huenda hujanielewa watanzania huku hatuaminiki, ni vigumu mtu kukuamini kukupa kazi wengi "wezi' hali...
Sijui waziri husika hajaliona hilo au vipi.
Vijana wetu wanaoomba ajira ni dhahili serikali haina huruma nao kabisa.
Sera za ajira siyo rafiki kwa wasaka ajira.
Leo hii unamuita kijana kwenye interview Dodoma, nafasi moja (one post) unaita watu 200 wakagombanie nafas moja kutoka mikoa ya...
Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri.
Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi.
Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
Ndugu Wana Jamii,
Tumeanza kusoma hisia tofauti, za watu tunaoweza kuwahisi ni wapinga maendeleo au wanaotaka kujaza matumbo yao binafsi kwa kutumia madaraka walioaminiwa na jamii, juu ya kauli adhimu ya Mama Raisi wetu kuhusiana na muelekeo wa maendeleo ya Tz na maendeleo binafsi ya raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.