ajira

  1. JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa chokonozi za kutengeneza ajira pamoja na haki za wanyamapori

    Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora === SERIKALI imesema watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
  4. JamiiForums Tanzania Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya Tanzania tunaombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO wanavyofanya?

    Habarini za wakati huu viongozi mbalimbali wa serikali, ndugu zangu, kaka zangu, baba zangu, marafiki zangu kwa ujumla. Siku ya leo nimekuja na swali muhimu sana. Swali langu nalielekeza EWURA. "Naombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kwa kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira portal change of email adress

    Wapendwa kama kuna aliewahi pata Hili tataizo anisaidie alivosaidiwa Email yangu niliotumia kujiunga na ajira portal iko dis abled means siwez kuitumia je kuna uwezekana ajira portal wakanibadilishia taarifa zangu kwenda email nyingine kama kuna aliewahi pata shida kama hii anisaidie...
  7. JamiiForums Tanzania Anuani (P.O. Box) za kutuma barua TRA & TAKUKURU hazipo, Je anuani ipi itumike

    Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
  8. JamiiForums Tanzania Barua za ajira portal zinaandikwa kwa mkono au kwa ku type

    Hellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi zetu barua za kazi tulikuwa tunaandika kwa mkono. Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania USHAURI: Tafadhali tafadhali, mchakato wa ajira serikalini usirejeshwe kwenye Taasisi za Umma

    Nawasalimu kwa jina JMT Moja kwa moja najikita kwenye mada. Nimepata ndogo ndogo kwamba kuna baadhi ya taasisi za umma zinaomba/zinataka warejeshewe mamlaka ya mchakato wa ajira kama zamani kinyume na Sekretarieti ya ajira PSRS inayosimamia suala hilo kwa sasa. Naishauri serikali isisikilize...
  10. JamiiForums Tanzania PSRS | Utumishi Wa Umma/Sekretarieti ya ajira angalieni hii

    Salaam kwenu wakuu. Natumai muwazima wa afya kabisa. Well, suala lilionifanya mpaka kuanzisha topic hii ni kuhusiana na restrictions tunazokutana kwenye Ajira Portal. Mmekuwa mkisisitiza sana kea waombaji wa nafasi za kazi kuhuisha (update) taarifa zao, hata wengine wamekuwa wakishindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Ajira Portal imedukuliwa?

    Wakuu, mfumo wa kuomba ajira wa sekretariet ya utumishi, Ajira Portal (portal.ajira.go.tz) unaonekana kutofanya kazi baada ya kutangazwa kwa ajira za PCCB na TRA. Wahuni wameshafanya yao? :( Hii website huwa ina shida ya Security. Nimejaribu kuingia leo jioni, napelekwa kwenye server za...
  12. JamiiForums Tanzania Utumishi mjiongeze kwa hili kwa suala la usaili kufanyika Dodoma pekee

    Habari JF, Naomba Sekretarieti ya Utumishi waweze kusaidia wahitimu weweze kufanya mitihani ya Ajira wakiwa mikoani kwao. Majuzi TRA wametoa nafasi 1097 za Ajira ambazo ni nyingi sana kwa kipindi hiki cha Uchumi wa Kati. Sasa Kikwazo ni hizi interview kufanyika huko Dodoma pekee. Kuna mtu...
  13. JamiiForums Tanzania KIMENUKA: Ajira EAC Secretariat

    Wakenya wamejiongeza kula bingo hapo Secretariat - Arusha, Wabongo wamebakia wafagizi na madereva (comfortably). Wabunge toka Uganda wamestukia michezo ya wakenya kupiga sarakasi na kuendelea kula mikataba ya maana. Wawakilishi wa TZ kwenye EALA wapo Ila wametulia jii
  14. JamiiForums Tanzania Ajira EAC Secretariat

    Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo. Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
  15. JamiiForums Tanzania Machache haya yataiokoa Serikali na Machinga wake

    MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE. Anaandika, Robert Heriel Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni. Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
  16. JamiiForums Tanzania Tamko la kuondoa wamachinga mijini liende sambamba na kuwaondoa watoto wa vigogo kwenye ajira Serikalini

    Inasikitisha mno, Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake. Wakati haya yakiendelea. Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini. Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna. Lakini wanapotaka...
  17. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Serikalini ( TAMISEMI) watu 233

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini na tatu (233) kama zilivyoainishwa katika tangazo...
  18. JamiiForums Tanzania Janja janja za kupata ajira katika kipind kigumu hiki katika soko la ajira

    kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako...
  19. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

    Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira. Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ? Asanteni kwa mtakaonijibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…