Waziri Jenista, vijana wapo maofisini lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
Jenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni.

Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa vijana wamo kwenye maofisi lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa.

Mtu ana Masters’ analipwa Tshs. 200000. Kwenye maofisi mikataba watu hawapewi kabisa. Pesa za mifuko ya jamii hazipelekwi. Watu wengi hawajui hata kama kuna Waziri anahusika na ajira.
 
Sasa hivi amepunguza baada ya wapinzani kupungua bungeni, ila enzi zile Utamsikia " utaratibu, spika utaratibu" hapo ujue mpinzani kaisema vibaya serikali yeye anataka kuitetea. Huwa hataki kabisa kusikia chama au serikali ikisemwa vibaya hata kama ni ukweli.
 
Kweli asee huyu waziri ni ndezi tu hana faida kwa nchi na vijana na ajira kwa ujumla,huku maofisini ni aibu tupu mishahara tunayolipwa mikataba hakuna yani maboss wanajiamulia wanavyotaka,mtu unatamani uache kazi ufanye mambo mengine ila unacheck situation ya capital basi inakua tabu tupu
 
Jenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni.

Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa vijana wamo kwenye maofisi lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa.

Mtu ana Masters’ analipwa Tshs. 200000. Kwenye maofisi mikataba watu hawapewi kabisa. Pesa za mifuko ya jamii hazipelekwi. Watu wengi hawajui hata kama kuna Waziri anahusika na ajira.
Dunia ya ushindani hailipi kwa cheti ulicho nacho. Kama unatafuta thamani halisi ya cheti chako nnenda kafundishe
 
Bora hata hao wapo maofisini, Kwa taarifa yako majority wapo mitaani na si kwa kupenda..., na huko mtaani mtu hajui kesho yake; angalau huyo / hao wana guarantee ya hata hizo 200K na security kwamba siku akizeeka watapata pension ya kununua panadol ya kuuguza maumivu...
 
Jenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni.

Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa vijana wamo kwenye maofisi lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa.

Mtu ana Masters’ analipwa Tshs. 200000. Kwenye maofisi mikataba watu hawapewi kabisa. Pesa za mifuko ya jamii hazipelekwi. Watu wengi hawajui hata kama kuna Waziri anahusika na ajira.
Acha ujinga....kwenye suala la economy,demands and supplies ndio inayorun flows ya cash na sio elimu yako.....unaweza kua na master,lakini production yako ni ndogo mnoo kuliko mtu aiyeishia la nne .......ukiona haulipwi kulingana na skills zako,jua una skills duni zisizo na manufaa ......rahisi tu kama ungekua nazo,usingekubali kuajiriwa na kulipwa ujira mdogo,ungezitumia kujizalishia wewe mwenyewe
 
Kukosekana kwa upinzani bungeni kumesababisha bunge kukosa msisimko kabisa!! Wabunge waccm hawawezi kujenga hoja wanaogopa mwenyekiti atawakata wakati wa kura za maoni!!! Yani jiwe yani jiwe "¢¥¥^π¢\¥¢£^℅°[℅¢℅×℅℅$#&% zake
 
Bora hata hao wapo maofisini, Kwa taarifa yako majority wapo mitaani na si kwa kupenda..., na huko mtaani mtu hajui kesho yake; angalau huyo / hao wana guarantee ya hata hizo 200K na security kwamba siku akizeeka watapata pension ya kununua panadol ya kuuguza maumivu...
Sasa waliopo mtaani ambao hawana akazi wanahusiana vipi na hoja ya mtoa mada?.
 
Back
Top Bottom