Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu

NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia miaka 12, walioruhusiwa kuoa hawa mabinti ni maaskofu wenye veo vya juu (high priests) na baadhi ya viongozi akiwemo mfalme daudi. 1 wafalme 1: 2-3 binti bikra alieletewa mfalme daudi alikuwa yupo hatua hii katika maandiko ya kiyahudi.

1679755907954.png

bogeret - huyu alikuwa rasmi ni binti kwa kufikia miaka 12, akiwa kafika miaka hii anaweza kuposwa akiwa bado nyumbani kwao ila baada ya miezi sita anapofikia miaka 12 na nusu anahamia rasmi kwa mwanaume.

Hivyo mama yake Yesu Mariam aliolewa kwa utamaduni wa waisrael akiwa na miaka 12, pia ni wakati wa umri huo ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu, Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
 
Hadi sasa nionavyo dini ya kikristo inaenda na wakati na sio kwa tamaduni zake na ndio maana si ajabu leo hii kukuta mkristo akishangaa padri ama mchungaji anaefuga ndevu hakidhi vigezo ilhali huo ulikuwa ni utamaduni kwa manabii wengi hata Yesu kufanya hivyo kwa sheria thabiti kabisa zilizopitishwa na Mungu.

Sasa leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Mama yake Yesu Mariam aliolewa akiwa na miaka 12 tu na kuzaa umri huo huo ama mwanzoni mwa miaka 13, kwa wakati huo huo Jehova / Mungu ndie alieridhia Yesu azaliwe na binti huyu mwenye miaka 12.

cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Kuna dini na madhehebu mengine yana ishi kinafiki sana wana fuata hi kauli ...." do what I tell you not what i do".....fanya nalo kuambia usinifuate navyo fanya mimi....hiyo ni religous hypocrisy kwa viongozi wa dini wengi wanao fanya hivo.
 
Hadi sasa nionavyo dini ya kikristo inaenda na wakati na sio kwa tamaduni zake na ndio maana si ajabu leo hii kukuta mkristo akishangaa padri ama mchungaji anaefuga ndevu hakidhi vigezo ilhali huo ulikuwa ni utamaduni kwa manabii wengi hata Yesu kufanya hivyo kwa sheria thabiti kabisa zilizopitishwa na Mungu.

Sasa leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa mabinti wenye miaka 15 wasiweze kuolewa iwapo mazingira yanawaruhusu kuolewa.

Mama yake Yesu Mariam aliolewa akiwa na miaka 12 tu na kuzaa umri huo huo ama mwanzoni mwa miaka 13, cha ajabu ni kipi kuruhusu mmabinti wenye miaka 15 ambao mazinira yanaruhusu wasiolewe ??
Hakuna mtu amekataa, kila mzazi ana malengo na maisha ya binti yake, kama nyie mnaona 12yrs inatosha kwa mabinti zenu kuolewa waruhusuni tu tusipigizane kelele, afterall ni binti yako

Mtoto wa miaka 12 bado anahitaji elimu, anahitaji muongozo na malezi kutoka kwa mzazi, anahitaji mwanga wa kujua future yake ni nini na ndoto zake za baadae ni zipi, pia anahitaji akili ikue ili hata umri wa kuingia kwenye ndoa unapofika awe amepevuka vya kutosha kuamua anahitaji mwenza wa namna gani

Ndoa ni jukumu la kulea mume pamoja na familia. Huyu binti ambae nae anahitaji kulelewa unamuingiza kwenye majukumu makubwa ambayo yanamzidi umri huoni kama ni ukatili?

Hata msichana wa kazi za ndani tu miaka 12 hafai maana utamkuta nae anacheza na watoto hajafanya chochote sembuse kumfanya awe mke
 
Hadi sasa nionavyo dini ya kikristo inaenda na wakati na sio kwa tamaduni zake na ndio maana si ajabu leo hii kukuta mkristo akishangaa padri ama mchungaji anaefuga ndevu hakidhi vigezo ilhali huo ulikuwa ni utamaduni kwa manabii wengi hata Yesu kufanya hivyo kwa sheria thabiti kabisa zilizopitishwa na Mungu.

Sasa leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Mama yake Yesu Mariam aliolewa akiwa na miaka 12 tu na kuzaa umri huo huo ama mwanzoni mwa miaka 13, kwa wakati huo huo Jehova / Mungu ndie alieridhia Yesu azaliwe na binti huyu mwenye miaka 12.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Fafanua umejuaje alikuwa na umri huo ?
 
Hadi sasa nionavyo dini ya kikristo inaenda na wakati na sio kwa tamaduni zake na ndio maana si ajabu leo hii kukuta mkristo akishangaa padri ama mchungaji anaefuga ndevu hakidhi vigezo ilhali huo ulikuwa ni utamaduni kwa manabii wengi hata Yesu kufanya hivyo kwa sheria thabiti kabisa zilizopitishwa na Mungu.

Sasa leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Mama yake Yesu Mariam aliolewa akiwa na miaka 12 tu wakati ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu , Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??

Reference iko wapi mkuu??
 
Fafanua umejuaje alikuwa na umri huo ?
Taratibu za wa israel kwa enzi za Yesu ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH ambao walikuwa hawajafikia umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, Mifano ni mfalme Daudi
 
Mtoto wa miaka 12 bado anahitaji elimu, anahitaji muongozo na malezi kutoka kwa mzazi, anahitaji mwanga wa kuja future yale ni nini na ndoto zake za baadae ni zipi, pia anahitaji akili ikue ili hata umri wa kuibgia kwenye ndoa unapofika awe amepevuka vya kutosha kuamua anahitaji mwenza wa namna gani...

Waambie hao wazee wa kukariri...wao wanaoza..huku wanasomesha...kwenye ajira wanalalamika upande wa pili wanapendelewa
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Taratibu za wa israel ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH wengi wakiwa bado hawajafika umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, mflalme Daudi akiwa mzee aliweza kuoa binti mwenye chini ya miaka 12 ila haijulikani alikuwa na miaka 8,9, 10 ama 11.

Mama yake Yesu Mariam aliolewa akiwa na miaka 12 tu wakati ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu , Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Wewe una Binti mwenye miaka 12? Je! ungependa naye aolewe mke wa tatu na libabu lenye wajukuu wakubwa kuliko Binti yako au asome?
 
Kwahiyo kelele zote hizi ni mnataka tuone ni sawa kuoa watoto?

Nimesikitika sana kusikia wanaume na watu wazima wanakaa na kuja na maoni eti ni sawa mtoto wa miaka 14 aolewe. Na wewe mleta uzi unaleta hadithi za Na' arah hapa ili kuhalalisha ujinga?

Taifa limejaa watu wa hovyo na wajinga wajinga hili.
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika historia ilikuwa ni kwamba mabinti wanapovuka umri wa miaka 12 huolewa, Huu ndio uliokuwa umri wa kawaida kwa mabinti kuolewa katika utamaduni wa waisrael, Kinachotofautisha binti na mtoto ulikuwa umri, Wasichana chini ya miaka 12 waliitwa NA’ARAH, hawa walikuwa bado hawajafika miaka 12, ni watu wachache kama mfalme Daudi waliweza kufunga ndoa na mabinti chini ya miaka 12

Mama yake Yesu Mariam aliolewa akiwa na miaka 12 tu wakati ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu , Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Mariam yupi huyo huyu mwenye kitambulisho cha nida au??
 
Wapi ukristo umekataza? Ni ustaarabu tu kwa kuwa wakristo ni wasomi. Hata baadhi ya waislam wanaojitambua hawakubali huo ujinga.

By the nyie mmezidi tukiwaachia mnaweza kuoa hata mimba, kama mudi alioa mtoto wa miaka 9 mtashindwaje kuona mtoto wa miaka 14 anafaa kufanywa mama.
 
Back
Top Bottom