Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 4,737
- 11,096
Habari zenu wana JamiiForums
Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya Nyankumbu nimepata matokeo yafuatayo.
Mkoa wa Geita umejaa watu wenye chuki za kimaendeleo hasa kwa wageni na hii ni kutokana na kuwepo kwa mgodi mkubwa wa Geita gold mine mgodi huu umekuwa umekuwa hautoi kipaumbele cha ajira hasa kwa wazawa.
Wazawa wengi ni masikini na mafukara wakutupwa hivyo kupelekea chuki kwa wageni.
Mkoa wa Geita una mchanganyiko wa wahamiaji wengi kama watusi na warundi hivyo mchanganyiko huu hupelekea kuwa na jamii ya watu wenye tabia mbali mbali za ajabu hasa hawa wahamiaji.
Watu wengi wana maisha magumu na ya kifukara japo wamezungukwa na mgodi wa madini.
Kutokana na ugumu wa maisha walionao wananchi wengi wanaoshi mkoani Geita kumekuwa na wimbi kubwa la wagonjwa wa afya ya akili na watu waliojikatia tamaa ya maisha.
Pendekezo langu juu ya tatizo hili ninaiomba Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa na Amiri jeshi mkuu mama Samia Suluhu hasani kushirikiana na wizara ya afya kuweka kitengo cha afya ya akili katika hospitali ya mkoa wa Geita ili kuweza kuwasaidia wananchi wanaokumbwa na tatizo hili