Elimu yangu ni shahada ya Takwimu na Hisabati, natafuta kazi yoyote halali

Kazi mbona zinatangazwa kubao sana za sekta yako mjomba.

Utasikia tunataka, Data officers, data clerker, monitoring & evaluation officers, statistics, etc

Unaona ngumu, ana hata kwa volunteering somewhere ku-boost experience & ur CV.

Itakusaidia sana
 
Anzisha tuition mkuu uwe unapiga pindi, au kama unaona jau kwa kozi uliyosomea jifunze mambo ya Data Science utatoboa sana.
 
Kanuni rahisi ya kupata kazi ni Kutafuta sehemu Uwe unajitolea kwanza. Wajuzi wanasema Tafuta Nafasi Kwanza.

Then kupitia nafasi uliyoipata onyesha uwezo, namaanisha piga kazi kuzidi kiwango kinachotakiwa,

Utakuwa umetengeneza jina, sasa Acha jina liongee, ukiwa kazini Usiwe mtu wa kulalamika umekosea? kiri makosa Omba msamaha.

Kupitia jina ulilolitengeneza ni rahisi kupata kazi ata kama sio kampuni hiyo utakuwa na uzoefu ambao ni mtaji tosha utakapoenda kuomba kazi kwingine
 
Kutafuta kazi na sehemu ya kujitolea hakuna tofauti katika Hustling za kupata msoto wa kupata kwa kujitolea almost the same tu na ule wa kupata kazi jumla.

umeAdrress kujitolea kama sehemu ipo tu unaenda.
 
Kanuni rahisi ya kupata kazi ni Kutafuta sehemu Uwe unajitolea kwanza. Wajuzi wanasema Tafuta Nafasi Kwanza.

Then kupitia nafasi uliyoipata onyesha uwezo, namaanisha piga kazi kuzidi kiwango kinachotakiwa,

Utakuwa umetengeneza jina, sasa Acha jina liongee, ukiwa kazini Usiwe mtu wa kulalamika umekosea? kiri makosa Omba msamaha.

Kupitia jina ulilolitengeneza ni rahisi kupata kazi ata kama sio kampuni hiyo utakuwa na uzoefu ambao ni mtaji tosha utakapoenda kuomba kazi kwingine

Well said.
 
Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 28. Elimu yangu ni shahada ya Takwimu na hisabati GPA 3.5 . Nikotayari kufanya kazi/ kibarua yoyote/chochote mahali popote.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wa dau
Nikweli . Lakini changamoto kubwa upande wakujiajili ni mtaji
Sio kweli. Changamoto ni lack of imagination, determination and guts to take action..! Mfano ukiuza hiyo simu yako tiyari mtaji wa kuuza matunda, kuchoma mahindi! Kijiwe cha shoe shine , kuuza chenji, kutafuta deli na kuuza vinywaji etc the list is endless. Sisi ni wavivu trust me.
 
kama upo dar es salaam karibu sana kwenye kampuni yetu ya ulinzi GARDAWORLD.....lakini ni lazima uwe mrefu, uwe na kitamburisho cha nida pamoja na cheti cha kuzaliwa bila kusahau vyeti vyako original....urefu ni kigezo cha lazima
 
Back
Top Bottom