Ninaweza kucheza games kwenye Laptop ya aina hii?

Kwa Need for speed ataweza yale ya zamani kidogo.. Pia hata Eurotruck ataweza sema kwa Low settings.
Anachotakiwa kubadilisha iyo hdd tu kama atakuwa na hela kidogo ama nyingi anunue laptop mpya yenye ukubwa zaidi
 
Anachotakiwa kubadilisha iyo hdd tu kama atakuwa na hela kidogo ama nyingi anunue laptop mpya yenye ukubwa zaidi
Kwahiyo hapo shida ni hdd t nikibadili ninaweza kucheza games aina zote?
 
Duh naona wengi mnaongelea HDD katika uwezo wa kucheza games.Ukweli uko hivi factor zinazo-influence gaming performance ya PC ni:
1. Graphic Card(size of video ram yaani vram,speed etc)
2.processor(generation, speed in GHz etc)
3.RAM size
Japo aina ya storage device inayotumia if HDD or SSD inamatter SDD ikiwa bora zaidi kwakuwa ina speed nzuri ya kuload data kuliko HDD
 
Kwa hiyo PC unaweza cheza magem ya kawaida au ya zamani kama need for speed basi ni lile most wanted la 2005 hukoo ila need for speed payback haiwezi
 
Ni 440M ama 4400M? Ni pc ya kizamani ina core moja tu, labda utafute games za zamani kama pes 2013, Fifa 14, na games nyengine nyepesi za chini ya huu mda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom