Salaam ndugu zangu, tuvitazame vivumishi kwa mapana yake. Katika andiko hili tutafafanua dhana ya vivumishi, aina zake pamoja na kutoa mifano mbalimbali. Twende pamoja;
VIVUMISHI
Kivumishi ni neno au fungu la maneno linaloeleza zaidi juu ya nomino. Kivumishi ‘huvumisha’, yaani hueleza mtu...