aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze chanjo aina nyinginezo

    Kwakuwa serikali imeamua kupambana na Covid -19 kwa chanjo, na kwakuwa zipo aina mbalimbali za chanjo ya CORONA, Nakwakuwa pia wapo waliodhamiria kuipata chanjo hiyo basi ni vyema wakaongeza na aina nyinginezo, ili pengine mtumiaji akawa na uhuru wa kuchagua apatiwe aina ipi. #maonihuru.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nani anajua aina hii ya nyumba (jina lake) na kuzijenga

    Kuna mtu anajua gharama ya kujenga aina hiyo hapa ?
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge litunge sheria ya aina ya misaada ya kiteknolojia

    Badala ya kusaidiwa mitumba ya nguo za ndani tusaidiwe mafunzo ya mashine za kutengeneza nguo. Badala ya kusaidiwa unga wa yanga tupewe mafunzo ya kilimo bora na teknolojia mpya ya maswala ya kilimo. Badala ya kuletewa ARVs tuletewe teknolojia ya kutengeneza dawa Badala ya kusaidiwa chanjo...
  4. Kiaka

    JamiiForums Tanzania Utambuzi pombe aina ya spirit nzuri kuliko nyingine

    Hivi unawezaje kutambua pombe Aina ya spirit nzuri kuliko zingine?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ningetaka kuishi kwenye aina hii ya mtaa na ya nyumba hizo. Na wewe weka hapa picha ya aina ya mtaa ungetaka kuishi

    Habari wana JF, Ninatumai habari njema. Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona...
  6. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa nyumba aina hii?

    Wakuu nazimia sana aina hii ya nyumba kwani zipo very simple,attractive,compact na zinakula nafasi ndogo sana. Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa aina hii ya nyumba na gharama huwa ni sh ngapi? Hizi nyumba huwa zinanivutia sana hasa kwenye design yake ilivyo,imagine haka hapa kana...
  7. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Aina za biashara za reja reja zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo ama na mtu hata mwenye kipato cha chini

    1. Genge la mboga mboga na matunda. Hii ni biashara ambayo mtu ataweza kuanzisha kwa mtaji mdogo kabisa na ikampatia kipato cha kujiendesha kimaisha ama kutunza familia, kulipa kodi ya pango n.k 2. Duka la reja reja. Hii ni aina nyingine ya biashara ambayo utaweka vitu vya matumizi ya kila...
  8. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama za kuku ni kanga, bata wa aina tofauti, njiwa, kware n.k 2. Ufugaji wa mbuzi. Mbuzi faida zake...
  9. DustBin

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali kwa aina hii ya ukusanyaji kodi isiyokwepeka

    Nawasalimu ndugu watantania kwa jila la JMT Wiki kadhaa zilizopita walijitokeza watu wakimnanga mkuu wa nchi kwamba kwa anayoyafanya ya kulegeza kamba kwenye ukusanyaji kodi kwa kutotumia nguvu ni kujiingiza kwenye anguko la kitaifa kwani hakuna mtu anapenda kulipa kodi hivyo kama hakuna nguvu...
  10. Chomo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kujua thaman na ubora wa pikipiki aina ya Boxer

    Wakuu hivi karibuni natarajia kununua chombo cha moto (piki piki) Mapendeleo yng ni kuwa na piki piki aina ya boxer,lkn naziona zipo tofaut tofaut,zingne nasikia zinaitwa mdomo wa mamba.. Kwa anaejua tafadhari; Ipi ni Boxer imara zaid kuliko nyingne? Bei yake imesimama ngapi huko madukani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Aina za Presha ya Kushuka na Sababu ya tatizo hilo

    AINA ZA PRESHA YA KUSHUKA Kuzifahamu aina kuu nne za presha ya kushuka (hypotension) husaidia kujitambua au kutambua hali ya mgonjwa. 1. Postural or orthostatic hypotension (OH): Ni aina ya kushuka kwa presha ambayo hutokea mara baada ya mtu kusimama haraka. Aina hii hutegemea umri wa mtu...
  12. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

    Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru Yanga...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Aina tofauti za nyumba na majina yake

  14. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Viunganishi (U) na aina zake

    Salaam Wakuu, tunaendelea na somo letu la aina za maneno. Katika andiko hili tutachimba kiasi katika maana na aina za Viunganishi. Twende pamoja hapo hapa chini: VIUNGANISHI Viunganishi ni maneno yanayotumiwa kuunganisha vipashio mbali mbali vya lugha. Kwa kawaida, huunganisha vipashio...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Vivumishi (V) na aina zake

    Salaam ndugu zangu, tuvitazame vivumishi kwa mapana yake. Katika andiko hili tutafafanua dhana ya vivumishi, aina zake pamoja na kutoa mifano mbalimbali. Twende pamoja; VIVUMISHI Kivumishi ni neno au fungu la maneno linaloeleza zaidi juu ya nomino. Kivumishi ‘huvumisha’, yaani hueleza mtu...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za Viwakilishi (W) katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, tuendelee na somo letu pana la aina za maneno. Katika andiko hili tutasonga zaidi kwa kutazama kiundani Viwakilishi na aina zake. Twende pamoja. VIWAKILISHI Viwakilishi ni maneno yanayotumika badala ya nomino(vibadala vya nomino). Nomino husika huwa haitajwi katika sentensi. Kwa...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za Vitenzi (T) katika lugha ya Kiswahili

    Wakuu salaam, tunaendelea na mada yetu ya aina za maneno katika andiko hili tutatazama vitenzi kwa upana wake. Tutaangalia dhana ya vitenzi kwa ujumla pamoja na aina zake. Twende pamoja tujadili. Ruksa kuongezea maarifa. VITENZI Vitenzi ni maneno yanayoarifu kuhusu jambo linalotendwa au...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za Nomino (N) katika Lugha Kiswahili

    Subalkheir ndugu zangu, Baada ya andiko lililopita kufafanua aina mbalimbali za maneno (Soma hapa: Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili) nikaona si vyema kuwaacha hewani. Kama nilivyoahidi kuja na ufafanuzi wa undani wa aina moja moja ya maneno, katika andiko hili tutaangalia aina za...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Aina za maneno katika lugha ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Leo turudi shule kidogo tujikumbushe aina mbalimbali za maneno katika lugha. Mada hii itaeleza kwa ufupi aina mbalimbali za meneno zilizopo halafu mada zijazo ntagusia aina moja moja kwa upana wake. twende kazi hapa chini: Kabla hatujaenda kiundani kuelezea aina za maneno kwanza...
Back
Top Bottom