aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mwanzo nilijua ni allergy kumbe ni aina ya sumu nilitengeneza mwilini bila kujua

    Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza sumu kwenye damu kiasi kwamba nikila Karanga, Tangawizi, Parachichi… nasikia masikio yana washa sana...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia. Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
  3. chapangombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna safari kubwa sana na aina hii ya viongozi

    Leo ndio nimepima nimejirizisha kuwa kwa Tanzania kuwa na mageuzi ya kiuchumi ni ndoto Tena ya asubuhi. Kama ndio aina ya wabunge ndio hawa wanaochambua. Mambo Kama vile tuna safari ndefu ndio maana kumbe mambo mengi ya ajabu Yanapitishwa bungeni mara tozo, mara Kodi nk kumbe tumekosa watu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia akiangalia vyakula vya aina tofauti vya asili Zanzibar

    Pichani Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani akitazama Vyakula vya aina tofauti akiwa maeneo ya Kizimkazi Kusini Unguja
  5. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Aina 5 muhimu za wateja (Five main types of customers) na jinsi ya kuwaleta

    1. Mteja Mwaminifu (Loyal customers). Hawa ni wateja ambao wanachukua asilia chache sana ya wateja wako wote wa kilasiku. Lakini ndio wanao fanya manunuzi kwa wingi Zaidi katika biashara yako. Mteja huyu ni wa muhimu sana na anatakiwa kumpa kipaumbele katika biashara yako. Utafiti...
  6. Issa SLuu

    JamiiForums Tanzania Aina ya Sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa vinaweza kuwa sumu

    Aina ya sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu. Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada...
  7. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania Powertools aina zote zinapatikana kwa bei rahisi sana

    *Bei Rahisi *Vifaa vyenye ubora *BRAND TOFAUTI TOFAUTI Cordless drill Jigsaws, circular saws. Generators and grinders pamoja na drill bits na misasa. TUPO KKOO MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU Piga 0788622610
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ifahamu sumu aina ya cyanide katika mihogo na majani yake

    Nimesoma katika health journal moja linasema mihogo na kisamvu ni vyakula hatari kuhifadhiwa ndani ya nyumba hasa jikoni. Vyakula hivi vina sumu aina ya cyanide ambayo humuua binadamu haraka sana. Moja ya dalili za sumu hii kwa mwanadamu ni kizungu zungu, kuuumwa kichwa, kuharisha na...
  9. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

    Hapo ndio uwezo wao wa ubunifu ulipoishia Mkuu wa wiliaya ya Rufiji kushoto pamoja na Mkurugezi wa halmashuri ya wilaya ya Rufiji (Kulia) wakimtambulisha balozi wakuzuia na kupambana na Rushwa mzee Haji Mpili jana wilayani humo
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Tyre cover la Gari aina ya RAV 4 kill time

    Wanabodi. Niende moja kwa moja kwenye mada. Natafuta tyre cover ya gari aina ya RAV 4 kill time, milango 5. kwa yeyote anaye uza au kujua zinapo patikana naomba anifahamishe! Asante.
  11. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Aina ya uongozi wa Rais Samia unafaa kwenye nchi au taifa lenye taasisi imara na huru lililojengwa katika msingi imara wa Kikatiba

    [A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana... Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua vitu vipya incase kama mtu haja - notice. Nitaeleza; 1. Huyu mama kuna kila dalili kuwa she's a...
  12. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Aina ya wasomi wetu waliojazana vyuoni

    Msomi Wa Chuo kikuu Hajui kutofautisha Kati ya Boom na mkopo Unaotolewa na HeSLB? Tunaelekea Wapi Wakuu Kama Taifa Linalojikomboa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Shellfish na mapishi yake

    Wakuu naomba kujua shellfish ni Aina ipi ya samaki? Na je mapishi yake yakoje? Asante sana
  14. C

    JamiiForums Tanzania Windhoek Lager zipo aina mbili?

    Mimi ni mnywaji wa siku nyingi wa Windhoek Lager, lakini wiki mbili tatu zilizopita nimegundua kuna aina mbili tofauti za Windhoek Lager kwa maana ya ladha tofauti ambazo zinaendana na labels tofauti kwenye chupa. Naomba kufahamishwa sababu ya uwepo wa aina mbili za Windhoek lager sokoni...
  15. Nduka Original

    JamiiForums Tanzania Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

    Yani nimeangalia kwa makini aina ya watu wanaokwepa chanjo ni kama ifuatavyo. 1. Wengi hawana kazi za kueleweka kwa ujumla ni wabangaizaji 2. Walokole kindakindaki 3. Ambao hawasafiri nje ya nchi hivyo hawajali chochote 4. Wengi wao wana elimu za chini mno
  16. GwaB

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Passo Vits na Ist, Moja kati ya hizo inatafutwa

    Habari wadau wa jukwaa hili adhimu!. Gari lenye ujazo mdogo aina ya Ist, Passo na Vits zinatafutwa. Moja kati ya aina hizo tatu linatakiwa liwe katika hali nzuri na usajili uwe T... D... Bajeti million tano. Karibuni. 0715354646
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Watengeneza chanjo ya Covid-19 aina ya Pfizer na Moderna wapandisha bei ya chanjo

    Watengeneza chanjo ya Covid-19 aina ya Pfizer na Moderna wamepandisha bei ya Chanjo. Taarifa iliyotolewa leo na jarida ya Financial Times limesema Moderna na Pfizer wameingia mkataba mpya wa bei mpya ya chanjo zao kwa Umoja wa Ulaya. Pfizer sasa itauzwa Dollar 23.15 (TZS 54,147) ama Euros 19...
  18. Leak

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ninyi mnaobadilika badilika mmebarikiwa kwa aina yenu. Mimi sina uwezo huo

    Gwajima ameendelea kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwake na amesisitiza kuwa yeye si aina ya watu wanaobadilika badilika akisema hivi leo ni hivyo hivyo mpaka anakufa na amesisitiza kuwa kuna hoja nyingi kuhusu chanjo ambazo alizitoa hadi leo hajaona majibu yake zaidi ya kuona uzushi wa yeye...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ya viongozi na watu ambao wangeishi zama fulani tusingekuwa na maendeleo wala ugunduzi wowote katika sekta ya afya

    Ndugu wanajukwaa Nimejaribu kuwaza aina ya mawazo na fikra za baadhi ya viongozi na raia walizonazo kwenye karne ya 21 , zikanipa shida kidogo Najiuliza Kama wangeishi zama za milipuko ya magonjwa mbalimbali tusingekuwa na chanjo Wala dawa yoyote, maana fikra zingekuwa hizihizi. Ni watu wepesi...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Mofimu, Viambishi na aina zake katika lugha ya Kiswahili

    Wakuu salaam, Katika kuendelea kukumbushana vipengele mbalimbali vya lugha katika somo hili tutaangalia Mofimu na Viambishi huku tukipitia dhana ya mzizi na shina. katika andiko hili tutaanza kufafanua mofimu, aina zake kisha viambishi na mwisho mzizi na shina kama ifuatavyo: Maana ya Mofimu...
Back
Top Bottom