Naomba kujuzwa kuhusu Shellfish na mapishi yake

Majoajosh

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
276
186
Wakuu naomba kujua shellfish ni Aina ipi ya samaki?

Na je mapishi yake yakoje?

Asante sana
 
Ni hao kama kobe wana gamba gumu bila mnofu ya kutosha, lobster, crab, musslor ni jamii hiyo.

Hapo kuna changu, vibua,tuna kambale,tilapia,Sangara,barakuda ukienda Feri ndo balaa utakuta kila kitu.

Hayo mashellfish ya nini?

Na sumu wanazo nyingi tu usipowaosha vizuri.

Bei yao imesimama haswa

Asante boss,kumbe Wana sumu Tena!! Sijawahi jua
 
Back
Top Bottom