Aina 5 muhimu za wateja (Five main types of customers) na jinsi ya kuwaleta

Aug 24, 2021
27
16

1. Mteja Mwaminifu (Loyal customers).​

Hawa ni wateja ambao wanachukua asilia chache sana ya wateja wako wote wa kilasiku. Lakini ndio wanao fanya manunuzi kwa wingi Zaidi katika biashara yako. Mteja huyu ni wa muhimu sana na anatakiwa kumpa kipaumbele katika biashara yako. Utafiti unaonesha kuwa wateja hawa huchukua asilimia 20 tu ya wingi wa wateja wako. Na ndio wanaoingiza kipato kikubwa ndani ya biashara unayoifanya. Pia kama unavoona jina la mteja huyu ni mteja mwaminifu(Loyal customer). Ndivo ivo thamani yake inavotakiwa kuongezeka machoni pako wewe kama mfanyabiashara.

Cha Zaidi kupita vyote, ni kwamba, mteja mwaminifu huwa anatabia ya kupendekeza Zaidi. Bidhaa zako kwa watu wengine. Na mara nyingi ni vizuri kuomba ushauri na mapendekezo yao. Pia kuwahusisha sana kwenye mchakato wako wa kufanya maamuzi. Na msisitizo wa hali ya juu unatakiwa kuchukuliwa na mfanyabiashara, kwa hao wateja waaminifu. Kama kwa namna moja au nyingine unataka kampuni au biashara yako iendelee kukuwa.

2. Mteja wa msukumo (Impulse customer).​

Mteja wa msukumo ni rahisi sana kumuuzia bidhaa zako. Mara nyingi mteja huyu huwa ameagizwa na mteja mwaminifu. Kufanya maamuzi ya kuwa mteja wako. Na thamani ya mteja wa msukumo huwa ni ya pili akitoka mteja mwaminifu.
Kingine ni kwamba. Mteja wa msukumo huwa, hana orodha ya vitu anavotaka kununua.Kwenye akili yake.Na hufanya manunuzi kwenye biashara yako kwa hiari yake mwenyewe.Kumbuka pia mteja huyu ni msikivu sana pale inapokuja kwenye.Swala la kupendekeza bidhaa nzuri kwake.Mteja wa msukumo ni wa pili kwenye swala la uwaminifu.Katika biashara yako.Nae anauwezo wa kukupatia kipato kizuri.Kumbuka pia kuwaweka wateja hawa kwenye mzunguko mzuri wa biashara yako. Kwa kutumia ofa mbalimbali.Maana wateja hawa ni wa pili katika swala zima la kukuongezea faida.

3. Mteja wa punguzo(Discount customer).​

Mteja wa punguzo, huyu ni muhimu tu pale inapofika mahali unapotaka kupindua mahesabu ya biashara yako. Kwa hiyo mteja wa punguzo ni muhimu sana kwenye swala zima la mzunguko wa kifedha wa biashara yako. Mteja huyu ni mara chache sana kununua bidhaa zako kwa bei tajwa. Bali yeye hupenda kununua bidhaa zako pele tu ambapo zimeshuka bei. Wateja hawa huwa ni mashujaa wa kuto kununua bidhaa zako pale zinapopanda bei. Na ni wa mwisho katika swala zima la uaminifu kwenye biashara yako.

Karibu AA TANCH TRADING COMPANY tukujulishe jinsi ya kuweka mipango ya kuwafanya wateja hawa kuwa wateja waaminifu.

4. Mteja mwenye misingi ya uhitaji (Need-based customer).​

Mteja mwenye misingi ya uhitaji anaendeshwa na mahitaji maalum. Kukosa mahitaji hayo kwa wafanyabiashara wengine humpelekea kuja katika biashara yako. Kwa maneno mengine, mteja mwenye misingi ya uhitaji. Huwa anaingia kununua bidhaa kwako kwa haraka na kwa kipingi cha mda mfupi sana alafu anapotea. Ni vizuri pia kutambua kuwa wateja hawa ni vigumu kwa kiasi flani kuwatumia kuongeza mauzo ya biashara yako. Na kwa sababu ya tabia yao hiyo ya kuhama hama. huwa ni rahisi sana kuvutiwa na mfanyabiashara mwingine.

Kwa hiyo ni muhimu sana kuanzisha mazungumzo yenye malengo na wateja hawa ili warudi tena kwenye biashara yako. Kuwabadilisha wateja hawa kuwa wateja waaminifu ni rahisi sana. Kama utakuwa tayari kuanzisha nao mazungumzo.

Ni mazungumzo gani ambayo yataleta tija kwa haraka? AA TANCH TRADING COMPANY tutakushauri vizuri jinsi ya kuongea na wateja hawa.

5. Mteja wa kutangatanga (Wondering customer).​

Wateja hawa huchukua nafasi kubwa sana ya wingi wa wateja katika biashara yako. Lakini huwa wanaingiza kipato kidogo sana kwenye biashara kwa ujumla. Wateja hawa huwa hawana mahitaji muhimu na wanavutiwa tu ata na eneo la biashara yako.

Nikimaanisha maranyingi huwa wanavutiwa na mahali ilipo biashara yako. Na wateja kama hawa, huwa wanafurahia sana mahusiano mazuri yaliopo kati yako mfanya biashara na wao. Tena pia wanafurahia mazoea mapya yanayo endelea kujengeka kati ya mfanyabiashara na wao.

Kama mfanyabiashara ukichukua mda mrefu kujaribu kuwatengeneza. Utajikuta unapoteza mda na kusahau wateja wenye kukuletea faida kubwa. Ingawa wateja hawa wanaingiza faida kidogo sana kwenye biashara yako. Ukiamua kuwapa undani wa taarifa ya bidhaa. Undani huo utaanzisha msisimko ndani yao wa kuendelea kununua bidhaa kwako.
Tutembelee kwenye telegram group letu. Kwa kufahamu zaidi kuhusu huduma zetu mbalimbali.
 
Imekaa poaa...

Mzee mbona umesahau wale wa Nitarudi, Mbona Sehumu flani wanauza bei hii..., n.k n.k...
Mimi mtu akizidisha mara tatu ananisumbua tuu halafu anaishia kusema nitarudi, Namwambia Usirudi..

Usiniambie mteja ni mfalme,
 
AA TANCH TRADING tutakupa shule nzima ya kukuandaa kuwa mfanya biashara. Mwenye kuyaona matokeo mazuri na kuifanya ata ukiwa nyumbani.
 
Chakula cha ubongo
 
Asante.Huyo wa punguzo balaa sana. Ndo wabongo wengi tupo hapo. Tumesababisha hata bei haziandikwi kwenye bidhaa hadi uiguse. Pia, ndo tumesababisha ujinga mkubwa kwenye taarifa kuhusu bei. Yani mnakuwa kama watoto, bei inaanza 20,000/= kisha inashuka hadi 10,000/= hapohapo. Kumbe, mfanyabiahsara angeweza kusema tu bidhaa yangu ni 10,000/=. Kama bidhaa ina punguzo pia ingewekwa wazi.

Ninadhani utamaduni huu unasababisha tunauziwa vitu bei ghali bila ya kujua tukifikiri tumeonewa huruma au tumewapatia wauzaji.Pumbavu zetu!
 
Nimejifunza mengi kutoka hapa! Thanks
Karibuni sana: na Kila siku tunakupa elimu mpya Blogs - AA TANCH TRADING kwa kupitia tovuti yetu. Ukipenda pia ku Agiza bidhaa kutoka china . Tupo Arusha Makao Mapya au Tupigie kwa namba 0756 591 943.Kwa maswali na majibu ya huduma zetu.
Au jiunge kwenye group yetu ya telegram kuwa wa kwanza kujifunza vitu vipya kuhusu biashara Telegram group
 
Back
Top Bottom