Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

Gari nzuri , chukua ila usichukue yenye bampa kubwa sababu huwa zinaharibika gari ipo chini, pia wanasema usichukue yenye all wheel drive sababu ya mafuta itakula zaidi ya 2 wheel drive kama hela ya mafuta haisumbui chukua , ina space kubwa sana na ipo poa
 
Back
Top Bottom