Humphrey Polepole hatafukuzwa CCM hata aseme matope ya aina yote!

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari zaidi ukizingatia pia umri wake.

Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao.

Polepole bado ana nafasi ya kufanya makubwa na hivyo akiwa nje ya chama na mfumo anaweza kuleta nguvu sana kwenye upinzani kwani anajua hata wizi wa kura ulivyofanyikka na mifumo yote dhaifu anaweza kuikabili against.

Ushauri wangu:
Polepole anafaa kuwa Balozi na kupelekwa ubalozi wa mbali sana sana tena ikiwezekana China ambako anaweza kuwekewa majasusi wa ndani ya Chama chake!
 
Ni kwa sababu anajua mengi sana na hivyo akiwa nje ya mfumo anaweza kuwa hatari Zaidi ukizingatia pia umri wake.

Akina Membe walifukuzwa kirahisi kwa sababu tayari uzee ulishakuwepo ndani yao...
Huijui CCM wewe.

Anyway, acha kujipigia promo upewe more, kama kweli unadhani una uwezo wa kushindana na CCM shindana.

Mashuhuda tupo🤣🤣🤣🤣
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom