aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

    Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia: 1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
  2. Barantogwa

    JamiiForums Tanzania MSAADA : SIMU YANGU AINA YA SONY SO 41B HAIPANDISHI MTANDO WA INTERNET.

    Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi, Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
  3. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania Ifahamu kwa kina gari aina ya cyber truck

    cyber truck ni gari la umeme la kisasa kutoka kwa kampuni ya Tesla, ambalo limekuwa na umaarufu mkubwa tangu lilipotangazwa. Gari hili linatambulika kwa muundo wake wa kipekee, nguvu zake, na teknolojia ya juu. Hapa chini ni baadhi ya sifa muhimu za Cybertruck: 1. Muundo wa Kipekee na Imara...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Bangi ihalalishwe kuweza kutumika, Ila iruhusiwe aina hii tu, nasimama na Tuntemeke wa Iringa

    Miaka ya themanini huko iringa palikuwa na mbunge anaitwa Tuntameke Sanga. Mheshimiwa Tuntameke Sanga alipeleka mara kadhaa hoja mbungeni akiomba jimbo lake WANANCHI waruhusiwe kulima bangi. Sababu aliyoitoa ni kwamba katika Jimbo lake ni jadi tangu awali WANANCHI hutumia mbegu za bhangi kama...
  5. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ngapi za passport za kusafiria hapa Tanzania?

  6. R

    JamiiForums Tanzania Kioo cha gari aina ya NISSAN SERENA 1997 MODEL

    Naweza kupata wapi KIOO cha mbele (wind shield) kwa gari aina ya NISSAN Serena 1997. tufanye biashara mwenye nacho
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za Madakitari

    Nimeona aina mbalimbali za madaktari kama ifuatavyo 👇 ila sijaona Doctor of Men
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Aina ya utawala sahihi unaokubalika na Mungu kuongoza watu ni upi?

    Utawala gani wa kisiasa wa kuongoza watu ambao ni sahihi unaotakiwa na Mungu kati ya Demokrasia na Udikteta kulingana na maelekezo ya dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu?
  9. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Vigezo Gani vilitumika kuajili mwandishi wa aina hii?

    Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu...
  10. Yongpalmuel

    JamiiForums Tanzania Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiongea ukweli kwa Wanawake watakuona unawachukia. Mwanamke akiongea ukweli kwa Wanaume ataonekana ni mjuaji na mwenye kiburi

    Wasalamu! Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale. Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali. Mijadala mtambuka kama ya Kijinsia, kidini, Mila na desturi n..k. ni baadhi ya midajala inayoleta fujo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Agiza gari aina yoyote na kutoka kampuni yoyote na Beforward

    JE unahitaji gari used au mpya toka katika kampuni kama vile Toyota Mercedes Benz Mitsubishi BMW VOLKSWAGEN NISSAN nk Iwe ni gari kubwa au dogo pickup minbus nk Beforward itakusaidia kupata gari Toka nje ya nchi Kwa Bei nafuu 0686153806 Whatsapp
  14. BUSINESS IDEAS ACADEMY

    JamiiForums Tanzania Aina za mitaji ya biashara na jinsi ya kuipata

    Katika safari ya ujasiriamali, mtaji ni moja ya changamoto kubwa inayowakumba wafanyabiashara wengi. Bila mtaji wa kutosha, ni vigumu kuanzisha au kukuza biashara yako. Hata hivyo, kuna aina mbalimbali za mitaji unayoweza kutumia kulingana na mahitaji na uwezo wako. Leo, tutajadili aina kuu za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nyoka aina ya Black Mamba mawindoni

    Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yani mwanamke ukirudi nyumbani anajaribu kukuchunguza kwa kila aina ya sense aliyonayo bila wewe kujijua

    Women are smart, yooo. Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wetu wa pwani hii aina ya ukataji viuno wa mabinti ilikuwepo tangu enzi au sasa imekuwa re-generated hadi kupitiliza?

    Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+". Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuambiwa na mmakonde kuwa pombe aina ya Gongo inayotegenezwa kwa korosho ikipata joto inalipuka. je hili nikweli?

    Wakuu dunia ina mengi sana.Huku kwetu Gongo hutegenezwa kwa malighafi ya muhongo au jina maalfu ni udaga. Nadhani kila sehemu wanatumia malighafi tofauti tofauti kulingana na upatikanaji wake. Basi katika kutembea huko na pale na kule nikakutana na mtu wa songea mmakonde alichoniambia...
  19. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Aina za watu na tabia zao kanisani

    Kanisa Lina Aina ya watu ambao hawako katika MISHENI Sawa. Kuna Baadhi ya wahusika uwepo wao Kanisani ni kukamilisha ajenda zao ZINGINE... Katika Historia ya Makanisa Maandiko Matakatifu (Ufunuo 3:14-15) yanaeleza kuwa tupo Kanisa la mwisho ambalo ni Kanisa la Laodakia na tabia za Kanisa la...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

    Hatimaye bunge la Iraq limepitisha rasmi sheria ya ndoa kuwa miaka 9.. Kwamba mtoto wa kike akifikisha miaka tisa basi ni ruhusa kuolewa Ndoa ninini!? Wengine watakwambia ni ndoano.. Lakini ndoa ni mapatano/makubaliano ya kuishi pamoja watu wa jinsia mbili tofauti kama mke na mume kwa muktadha...
Back
Top Bottom