aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

    Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
  2. Brojust

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuwa platinum member wa JF. Hivi huwa wanaangalia aina za mada au ukongwe wa member, Hongereni sana platinum members sijaona kilaza kabisa.

    JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa. Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa. Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  4. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia hayuko teyari kuzaa kwa sasa huyo sio wako piga chini haraka anaekupenda atakubebe mimba fasta ili asikupoteze

    Ndugu zangu. Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Pata huduma ya research za aina zote

    TANGAZO #EPMCOMPANY Tunatoa huduma za research za aina zote kwa sasa! Tupo Mwanza, Mtaa wa Selemani, na pia tunatoa huduma online kwa urahisi wako. Mawasiliano: WhatsApp: 0768615672 Simu: 0678315672 Tunakuhakikishia huduma bora, ya haraka, na inayokidhi mahitaji yako ya kitaaluma...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza chainsaw

    Aina NI hausqavar Imetumika miezi mitatu Bei 1.5
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Leo nakutajia na kukuelezea aina 4 za kuku Asili(kienyeji pure) Kwa kina

    Itoshe kusema mko poa wakuu. Leo nimeona si vibaya ni share nanyi Kwa uchache japo aina4 za kuku wa kienyeji japo najua/mnajua Kuna aina nyingi sana za kuku Hawa. Mimi nitawajia Hizi aina 4 faida na hasara zao. Nitafupisha pale panahitajika tu. Mjue ya kwamba sio rahisi sana kupata kabila...
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni barua ya Posa ya aina gani

    Nimeenda kwenye barua ya posa. Aliyoleta ni bahasha yenye barua ya 1. Kuomba kumposa binti. 2. Kitambaa cheupe kina fedha ndani na kimefungwa na pin nne Katika pembe zake nne. 3. Msumari yaani screw.. je watu wa Pwani au wengine wanaweza kufafanua hasa huo msumari na ufungaji wa kitambaa...
  9. emmarki

    JamiiForums Tanzania Millennials, mnaikumbuka kilevi aina ya Kuber

    Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna gari aina ya Tesla inauzwa, imeingia Bongo jana

    Kama ilivyo humu jamii forum kuna Matajiri Sasa mimi kama dalali mzoefu Kuna ndinga mpya imeingia Jana aina ya Tesla inauzwa nafikiri mnajua hii gari sio Kwa ajili ya masikini Nimetoa tahadhari mapema usije ukajua IST narudia tena ni Tesla ya tajiri Elon mask sio Kwa ajili ya watu njaa njaa
  11. Tanki

    JamiiForums Tanzania ( PICHA ) Friji aina ya BOSS mpyaaa inauzwa

    Tangu itoke dukani Ina miezi minne. Na imekuwa ikitumika nyumbani. Haina hata mkwaruzo. Haina kipengere chochote. Ni milango miwili, Inapooza na kugandisha Bei 300,000 Contact : 0785214599 ( Dar es salaam - Kigogo round about )
  12. J

    JamiiForums Tanzania Aina za Uponyaji wa Kiroho

    Aina za Uponyaji wa Kiroho Uponyaji ni nini Uponyaji ni tendo la kiimani la kupokea uzima katika roho au mwili kwa njia ya kuombewa, kuwekewa mikono au kulisikia neno sahihi la Yesu Kristo. Tendo hili la kiimani humletea muumini uzima wa kiroho na afya ya kimwili pale ilipopunguka. Wengi...
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mnatumia mbao za aina gani kuezeka nyumba?

    .
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop aina ya Lenovo inauzwa, imetumika miezi minne tu

    Wakuu, kimfaacho mtu chake. Nina hali mbaya kiuchumi aisee, nimeamua kuuza laptop yangu aina ya lenovo RAM 8 GB Storage 256 GB Bei ni 550,000/=maongezi kidogo yapo. Kwa mwenye kuihitaji anicheck inbox tu tuyajenge.
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale INAUZWA Simu ndogo aina ya i 17 Pro 45,000 TZS

    Simu ndogo aina ya i 17 Pro 45,000 TZS. Sifa za simu: 1. Inatumia laini mbili 2. Ina trey ya kuwekea laini 3. Betri yake ipo ndani kwa ndani 4. Ina pin ya kutolea laini 5. Inakaa na chaji muda mrefu 6. Display yake nzuri sana Rangi tulizo nazo ni Kama ifuatavyo: Karibuni: Mawasiliano...
  19. mike2k

    JamiiForums Tanzania Apollo: Album ya Fireboy DML yenye upekee wa aina yake

    Albamu ya Apollo ya Fireboy DML: Safari ya Upekee katika Muziki wa Afro-Beatz Katika ulimwengu wa muziki wa Afro-beat, albamu ya Apollo ya Fireboy DML ni mfano halisi wa ubunifu wa kisanaa na urithi wa kitamaduni. Iliyoachiliwa mnamo Agosti 2020, Apollo inasimama kama ushahidi wa uwezo wa...
Back
Top Bottom