aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Tanzania kutokuwa na Kampuni zake yenyewe hasa Ujenzi

    Tanzania tuko na Engineers wa kila aina, aina zote za Engineers wanapatikana Tanzania. Ni kawaida sana sana kuwasifia Engineers as individuals wanaoibuka na Tuzo mbali mbali au wanakua recognized duniani. Mfano, kuna Electrical Engineer mkubwa sana mtanzania mweusi kabisa ana miliki Kampuni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa! Msomi unakosaje kazi ya kufanya nchi hii yenye kila aina ya rasilimali?

    Hivi wewe ambaye unajiita umesoma halafu unalalamika kuwa huna kazi, unafahamu kwamba unajidhalilisha? Acha wakose kazi vijana wa Ulaya na Marekani huko lkn siyo hapa Tanzania. Ardhi yenye rutuba isiyohitaji mbolea imejaa tele kwann usijiajiri kwenye kilimo? Ardhi ya bure ipo tele katika mikoa...
  3. Utopologist

    JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa Stars jana, tunaitoa kwenye list ya wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni Utopolo tu

    Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje. Wadau hivi mnaonaje, tuwapige ban hawa misukule kuliwakilisha taifa? Maana wanaleta aibu na fedheha tu. Kwenu...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

    Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata...
  5. La Quica

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Funika aibu zao na sio kuwaaibisha

    Baada ya kusafisha na kupanga nyumba yangu, kaka yangu alinipigia simu na kuniambia, "Mimi na mke wangu tunakuja kukutembelea." Nilienda jikoni kuwaandalia kitu, lakini sikuweza kupata chochote cha kuandaa. Baada ya kufikiria sana na kupekua, nilichoweza kukiona ni machungwa machache. Kwa...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wananchi wa Ludewa wanasafirisha wagonjwa kwenye machela. CCM inatia aibu.

    Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32 kunusuru maisha ya ndugu zao kutokana na barabara ambayo vyombo vya moto haviwezi kupita...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa taifa aibu tupu, hakuna watu TFF imekula kwenu

    Watu wamejazana huku nje kwenye kontena na vibandani, ni aibu sana wapi TFF mmefeli jamani Shida iko wapi, nini mmefeli TFF nimefurahi kuona watu mmejali maisha yenu kwanza Pili tff walijua derby 10000 watu wataenda tu wanakula backet nje bia saba safi... Kaeni mjiulize kwanini matamasha...
  8. issenye

    JamiiForums Tanzania Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

    Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya mafuta katika miji ya...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kagame kuitembelea Msumbiji baada ya kuondoa kero la ugaidi

    Magaidi ya Msumbiji yalikua yameota pembe mpaka kuanza kupiga majirani wakiwemo Tanzania ambapo walikua wanaingia na kuchinja wanavijiji, ilimbidi Kagame atume makomando wake ambao walifyeka huo uchafu na kuweka sawa...... Majitu ya SADC full misifa lakini kwenye medani zero, kainchi kadogo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wote wa Yanga na mdhamini GSM waondoke. Manji rudi utuokoe, mmetutia aibu

    Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0. Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na mdhamini GSM aende zake,wanachama na wapenzi tumwombe shujaa wetu MANJI ARUDI KUTUDHAMINI. Sababu...
  11. Guus

    JamiiForums Tanzania Wakenya msione aibu, leteni Harambee Stars kwa Mkapa

    Leo tarehe 17 mwezi wa 9, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limekataa kuuidhinisha uwanja wa soka wa Kasarani kutumika katika mchezo baina ya timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) na Mali wa kufuzu fainali za kombe la Dunia. CAF wamegoma kuuidhinisha uwanja huo, katika mchezo unaotarajiwa...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM haioni aibu kudanganya juu ya kukamilika mradi wa Sgr Dar to Moro?

    Wakati wa hayati JPM tuliambiwa mradi utakamilika Nov 2019. Hapo tukapata uhakika wa kutembea na train Dar Moro kwa nusu saa. Baadae mambo yakabuma tukaambiwa mwaka 2020 mapema tu mradi utakamilika. Baadae tena baada ya JPM kufariki tukaambiwa April 2021. Lakini mpaka sasa ni kimya kizito...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa nchi

    Shirikisho la Volleyball Afrika limechukua uamuzi wa kuitoa Tanzania ktk Mashindano ya Volleyball ya Mataifa Afrika yanayoendelea Rwanda, kwa kushindwa kulipa ada ya ushiriki $1,000 na $50 kwa kila mtu kwa siku 12 Hii ni aibu kwa Taifa letu
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 6 nchi iingie kwenye aibu nzito

    Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka. Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye magazeti. Pre Season ya maana kabisa ilichezea kichapo kikali ikakata ringi kipindi cha kwanza tu. Pre...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Harmonize ku"fake"idadi ya viewers ya wimbo wake mpya Teacher

  16. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

    Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
  17. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Temeke mnatia aibu wananchi wenu wana umasikini wa kutupwa na kero nyingi amjazifanyia kazi mnabaki kupambana na Amba Rutty

    Habari wadau..! Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam. Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa vijana,upungufu wa madarasa, utoro wa wanafunzi, umasikini, uporajwi wa ardhi za wananchi, upungufu wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  19. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete na CCM hamuoni aibu kwenda Zambia? Zanzibar 2015 mlifanya nini?

    Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye ndege kwenda Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais halali aliyetoka na Upinzani, ninyi...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa CCM kujipeleka Zambia bila kualikwa

    Leo rais mteule wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema anaapishwa. Tuliona barua ya mwaliko kwa ACT Wazalendo na leo tumeona barua ya mwaliko kwa viongozi wa serikali, CCM hawajaalikwa, lkn cha kushangaza kwenye mwaliko huo CCM wamepeleka lundo la viongozi wake kuliko waalikwa wenyewe. Ni aibu kwa...
Back
Top Bottom