Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

Igande

Member
Jun 10, 2021
41
60
Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani.

Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu wenyewe walikuwa wanatusimanga kwamba tunapoteza muda ajira hakuna

Hilo ni kweli, halipingiki. Ajira ni chache sana kwa zama zetu hizi! Lakini wooote hao walikuwa wanatoa frustration zao na kutusema pasi na kutupatia suluhisho ama mawazo juu ya nini cha kufanya.

Sawa, ajira hakuna. Nini nifanye? Niache chuo? Je, mwanao hutampeleka shule kwa kuwa hakuna ajira? Majibu ni hapana. Huna haja ya kuacha kusoma kwa sababu hakuna ajira. Na mimi kwenye hii thread nitakupa ABCD juu ya nini cha kufanya.

Utastaajabu kwann hukuwaza kufanya hivyo!

Wasomi wanasimwangwa sana, kuanzia kwenye ngazi ya familia mpaka bungeni. Wanaonekana usomi wao hauna maana! Kwanini? Kwa sababu hawana hela.

Je, hao walioishia la saba wamefanikiwa kimaisha (pesa) kwa sababu wamefeli academically? Na je, aliyefaulu academically yuko guaranteed kufeli kimaisha? Majibu ni hapana.

Kama darasa la saba ameweza kuanzisha biashara na akafanikiwa, basi wewe msomi wa chuo kikuu unaweza kufanikiwa zaidi yake.

Mimi sio motivational speaker, I'll show you how.

Una akili kuliko yeye. Hakuna siri yeyote kwenye biashara ambayo labda yeye anaifahamu ndo maana kafika mbali. Wengi ni bahati tu, na some social skills ambazo unaweza kujifunza na ukawa bora zaidi

Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu anza kwa kufanya yafuatayo :

1. Soma vitabu. kuhusu biashara, psychology, life etc. Naamini unauwezo wa kusoma vitabu in your free time ukiwa chuo. Pata theory ya biashara. Kwenye ground huenda mambo yasiwe kama ulivyosoma lakini kama unajua, unajua tu!

I'm a living proof. Baada ya kusoma vitabu vya biashara na psychology nayaona makosa mengi wanayofanya wafanyabiashara.

Hasa hao darasa la saba na form IV failures, hawajui mbinu za ushawishi, wana poor marketing strategies, hawajiongezi etc Lakini Eti ndo wamefanikiwa! Imagine what you can do!

2. Anza biashara. Kujua tu haitoshi, utajifunza na utaelewa zaidi ukiwa unafanya practical ya kile ulichosoma kwenye vitabu!

Pengine unajiuliza mtaji utatoa wapi!? Well, you can do business with zero capital. Akili yako tu! Wewe ni intellectual, unaweza kufanya biashara bila mtaji.

Niwaibie siri : unaweza kufanya biashara ya nguo, simu, laptops, birthday cakes etc chuoni kwako Bila mtaji wowote!

Kwa mfano, umeamua kufanya biashara ya simu. Tafuta duka la simu, ongea nao vizuri wakupe simu kwa bei za mazoezi. For instance Samsung galaxy S8 bei yake standard ni 450k. Kwa bei ya mazoezi watakupa let's say 380k. Ukiuza simu moja tu unapata 70k! First years wengi wananunua simu, mwisho wa siku unapata pesa ya kutosha hata kama unajilipia ada unaweza kuishi bila wasi wasi.

Unatafuta mteja, unamfanyia delivery, unampunguzia hata na bei ili utengeneze brand. Apply your marketing skills from books, halafu utaona matokeo yake!

Hiyo ni kwa simu. The same with laptops, nguo etc.

3. Tengeneza Brand. Hutakaa chuo milele, mwisho wa siku utarudi mtaani. Let's assume the worst : umekosa ajira

Your brand is your life saver. Tayari watu watakuwa washakujua unauza simu, nguo laptops etc. Na labda ulikuwa huwauziii wanafunzi peke yao. Utaanza maisha na brand yako... Tafuta mtaji fungua duka au endelea online, whatever but with the aid of knowledge from books Unaweza kufika mbali.

Anza biashara rasmi sasa na endelea kujifunza along the way

Mwisho, I know this is not for everyone but trust me, hao wanaofanikiwa kimaisha hawana u'special' wowote! You are smart, and you can be Among them

Pia, nafahamu ni ngumu. Surely it's hard, but it's possible too. Kama unataka kuepukana na aibu ya kuwa msomi, fuata ushauri wangu.

Huna sababu za kutofanya biashara wakati bado upo chuo.

Let's assume umeanza biashara lakini ukawa hupati wateja wengi kama ulivyotegemea, that's okay! At least utakuwa umejifunza kitu and you have earned some money.

Kipi bora, kujaribu hii njia niliyokuonyesha au kumaliza chuo urudi kula ugali wa baba yako? Au utakuwa machinga

Balancing your studies and business can be challenging, but you can do it! I believe in you!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Acha kupotosha uma hao matajiri wengi ni wasomi kuliko hao darasa la saba unawazungumzia wewe. Probability ya kutoboz na hiyo elimu yako ya darasa la saba ni ndogo sana otherwise utaishia kufanya biashara ndogo ndogo. Marehemu Dr Mengi alikuwa phd holder na exposure ya kutosha ambayo imemfanya kuendesha makampuni yake ya ipp. Hao kina Mo dewji wasomi kutoka vyuo vyukubwa vya biashara hawajaishia darasa daba. Ushauri wangu unapopata fursa ya kusoma wewe soma piga hata mpaka phd. Coz elimu inakupa ujuzi na exposure ya kutosha. Tunakoelekea ni dunia ya teknolojia hata biashara zote zitafanyika kisomi. Hata hap wasomi wasio na ajira watapata ajira kipindi hichi. Sasa wewe na elimu yako ya darasa la saba utabaki kutafuta kwa jasho na kuangaika sana. Anyways ya Mungu mengi bado unaweza kutoboa.
 
May be umem "quote" vibaya jamaa lakini huyu jamaa amejaribu kuonesha uhalisia uliopo mtaani juu ya wasomi hasa wanaomaliza vyuo vikuu na kurudi mtaani..... Sijaona kama ametaja sehemu kwamba elimu sio muhimu... Bali ameonesha umuhimu wa kujiandaa na maisha ya mtaani mara baada ya kuhitimu masomo yao.... Kiukweli andiko lake lina madini mengi sana... Hasa kwa sisi ambao tumeshayaanza maisha ya mtaani tukiwa freshers from schools.... Nampa Congole mwandishi wa uzi huu wala hana ubaya wowote na alichokiandika ni ukweli mtupu. Wasomi wengi sa hv tuna stress mpaka tunatamani hata dunia ipasuke tuzame maana jamii inatuona kama tumekosa mwelekeo.

Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
 
All in all, pamoja na kuwa na same channel( kuishi chini ya formal principles ie economical principles, ethics etc etc) bado maisha ya mwanadamu yako very unique. Kikubwa pale ulipo fanya uwezapo kwa namna yako japo kwa kufuata hizo formal principles
 
Kwa akili hii kama wewe ni KE njoo nikuoe au kama ni ME njoo nikuajiri inbox
 
Acha kupotosha uma hao matajiri wengi ni wasomi kuliko hao darasa la saba unawazungumzia wewe. Probability ya kutoboz na hiyo elimu yako ya darasa la saba ni ndogo sana otherwise utaishia kufanya biashara ndogo ndogo. Marehemu Dr Mengi alikuwa phd holder na exposure ya kutosha ambayo imemfanya kuendesha makampuni yake ya ipp. Hao kina Mo dewji wasomi kutoka vyuo vyukubwa vya biashara hawajaishia darasa daba. Ushauri wangu unapopata fursa ya kusoma wewe soma piga hata mpaka phd. Coz elimu inakupa ujuzi na exposure ya kutosha. Tunakoelekea ni dunia ya teknolojia hata biashara zote zitafanyika kisomi. Hata hap wasomi wasio na ajira watapata ajira kipindi hichi. Sasa wewe na elimu yako ya darasa la saba utabaki kutafuta kwa jasho na kuangaika sana. Anyways ya Mungu mengi bado unaweza kutoboa.
Umegongwa na kitu kizito..
 
Inasikitisha kwamba kuwa msomi siku hizi imekuwa aibu. Unasoma kwa bidii mpaka ngazi ya chuo kikuu unaishia kutia aibu mtaani.

Nakumbuka kipindi niko Form V niliazimia kuacha shule. Niliona kabisa napoteza muda mrefu na nitaishia kupata aibu tu kwa usomi wangu. Sio jamii tu, bali hata walimu wenyewe walikuwa wanatusimanga kwamba tunapoteza muda ajira hakuna

Hilo ni kweli, halipingiki. Ajira ni chache sana kwa zama zetu hizi! Lakini wooote hao walikuwa wanatoa frustration zao na kutusema pasi na kutupatia suluhisho ama mawazo juu ya nini cha kufanya.

Sawa, ajira hakuna. Nini nifanye? Niache chuo? Je, mwanao hutampeleka shule kwa kuwa hakuna ajira? Majibu ni hapana. Huna haja ya kuacha kusoma kwa sababu hakuna ajira. Na mimi kwenye hii thread nitakupa ABCD juu ya nini cha kufanya.

Utastaajabu kwann hukuwaza kufanya hivyo!

Wasomi wanasimwangwa sana, kuanzia kwenye ngazi ya familia mpaka bungeni. Wanaonekana usomi wao hauna maana! Kwanini? Kwa sababu hawana hela.

Je, hao walioishia la saba wamefanikiwa kimaisha (pesa) kwa sababu wamefeli academically? Na je, aliyefaulu academically yuko guaranteed kufeli kimaisha? Majibu ni hapana.

Kama darasa la saba ameweza kuanzisha biashara na akafanikiwa, basi wewe msomi wa chuo kikuu unaweza kufanikiwa zaidi yake.

Mimi sio motivational speaker, I'll show you how.

Una akili kuliko yeye. Hakuna siri yeyote kwenye biashara ambayo labda yeye anaifahamu ndo maana kafika mbali. Wengi ni bahati tu, na some social skills ambazo unaweza kujifunza na ukawa bora zaidi

Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu anza kwa kufanya yafuatayo :

1. Soma vitabu. kuhusu biashara, psychology, life etc. Naamini unauwezo wa kusoma vitabu in your free time ukiwa chuo. Pata theory ya biashara. Kwenye ground huenda mambo yasiwe kama ulivyosoma lakini kama unajua, unajua tu!

I'm a living proof. Baada ya kusoma vitabu vya biashara na psychology nayaona makosa mengi wanayofanya wafanyabiashara.

Hasa hao darasa la saba na form IV failures, hawajui mbinu za ushawishi, wana poor marketing strategies, hawajiongezi etc Lakini Eti ndo wamefanikiwa! Imagine what you can do!

2. Anza biashara. Kujua tu haitoshi, utajifunza na utaelewa zaidi ukiwa unafanya practical ya kile ulichosoma kwenye vitabu!

Pengine unajiuliza mtaji utatoa wapi!? Well, you can do business with zero capital. Akili yako tu! Wewe ni intellectual, unaweza kufanya biashara bila mtaji.

Niwaibie siri : unaweza kufanya biashara ya nguo, simu, laptops, birthday cakes etc chuoni kwako Bila mtaji wowote!

Kwa mfano, umeamua kufanya biashara ya simu. Tafuta duka la simu, ongea nao vizuri wakupe simu kwa bei za mazoezi. For instance Samsung galaxy S8 bei yake standard ni 450k. Kwa bei ya mazoezi watakupa let's say 380k. Ukiuza simu moja tu unapata 70k! First years wengi wananunua simu, mwisho wa siku unapata pesa ya kutosha hata kama unajilipia ada unaweza kuishi bila wasi wasi.

Unatafuta mteja, unamfanyia delivery, unampunguzia hata na bei ili utengeneze brand. Apply your marketing skills from books, halafu utaona matokeo yake!

Hiyo ni kwa simu. The same with laptops, nguo etc.

3. Tengeneza Brand. Hutakaa chuo milele, mwisho wa siku utarudi mtaani. Let's assume the worst : umekosa ajira

Your brand is your life saver. Tayari watu watakuwa washakujua unauza simu, nguo laptops etc. Na labda ulikuwa huwauziii wanafunzi peke yao. Utaanza maisha na brand yako... Tafuta mtaji fungua duka au endelea online, whatever but with the aid of knowledge from books Unaweza kufika mbali.

Anza biashara rasmi sasa na endelea kujifunza along the way

Mwisho, I know this is not for everyone but trust me, hao wanaofanikiwa kimaisha hawana u'special' wowote! You are smart, and you can be Among them

Pia, nafahamu ni ngumu. Surely it's hard, but it's possible too. Kama unataka kuepukana na aibu ya kuwa msomi, fuata ushauri wangu.

Huna sababu za kutofanya biashara wakati bado upo chuo.

Let's assume umeanza biashara lakini ukawa hupati wateja wengi kama ulivyotegemea, that's okay! At least utakuwa umejifunza kitu and you have earned some money.

Kipi bora, kujaribu hii njia niliyokuonyesha au kumaliza chuo urudi kula ugali wa baba yako? Au utakuwa machinga

Balancing your studies and business can be challenging, but you can do it! I believe in you!

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Umeandika vizuri ila wasomi hawapendi kusemwa au kushauriwa wanajifanya kila kitu wanajua afu wanawadharau sana L Y
 
May be umem "quote" vibaya jamaa lakini huyu jamaa amejaribu kuonesha uhalisia uliopo mtaani juu ya wasomi hasa wanaomaliza vyuo vikuu na kurudi mtaani..... Sijaona kama ametaja sehemu kwamba elimu sio muhimu... Bali ameonesha umuhimu wa kujiandaa na maisha ya mtaani mara baada ya kuhitimu masomo yao.... Kiukweli andiko lake lina madini mengi sana... Hasa kwa sisi ambao tumeshayaanza maisha ya mtaani tukiwa freshers from schools.... Nampa Congole mwandishi wa uzi huu wala hana ubaya wowote na alichokiandika ni ukweli mtupu. Wasomi wengi sa hv tuna stress mpaka tunatamani hata dunia ipasuke tuzame maana jamii inatuona kama tumekosa mwelekeo.

Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
Ahsante kwa kunisaidia kumjibu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
yani tuache kusoma kisa hamna uhakika wa ajira?
ukiacha kusoma unakuwa na uhakika wa ajira?

acha kuandika uzi za kupoteza watu.
 
Back
Top Bottom