ahukumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dexta

    Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  2. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  3. Jaji Mfawidhi

    Katekista Katoliki ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Mlei

    ONYO: Mauaji haya ya watumishi wa madhabahuni yasihusishwe na dini yeyote ile, huu ni utashi wa mtu, japo sijasikia huko TAG wakiuana ama kubaka watoto> Mahakama kuu kanda ya Iringa iliyofanya kikao chake mkoani Njombe imemhukumu kunyongwa hadi kufa Daniel Philipo Mwelango miaka (42),katekista...
  4. O

    Njombe: Aliyeua mtoto kulipiza kisasi ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu iliyoketi Njombe, imemhukumu adhabu ya kifo, Happiness Mkolwe baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua mtoto Jackson Kiungo, ikiwa ni kulipa kisasi kwa mama yake kuwa na uhusiano wa kimapenzi na na mumewe. Inaelezwa kuwa Happiness, alimteka nyara mtoto huyo wakati akitokea saluni...
  5. JanguKamaJangu

    Ruvuma: Kijana wa miaka 24 ahukumiwa jela maisha kwa kosa la kulawiti mtoto wa miaka mitano

    Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Oktoba 25, 2023 imemuhukumu kifungo cha Maisha jela, Pius Stephano Mbunda (24) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume (5). Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya Jinai Na 31 ya...
  6. JanguKamaJangu

    Njombe: Aliyeshtakiwa kwa kuwabaka Wanawake kwa zamu na kuwaingizia matango sehemu za siri ahukumiwa miaka 180 jela

    Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30. Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo...
  7. JanguKamaJangu

    Urusi: Mwandishi wa Habari aliyeandamana ahukumiwa kwenda jela Miaka 8.5

    Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki katika maandamano katika Matangazo mubashara (live) ya kwenye TV kupinga vita ya Taifa lake la Urusi dhidi Ukraine, amehukumiwa adhabu hiyo akiwa hayupo Mahakamani. Amekutwa na hatia ya "Kusambaza hadharani habari za uongo licha ya kuwa na ufahamu kuhusu...
  8. R

    Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa...
  9. BARD AI

    Dar: Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua mkewe

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salalam, iliyoketi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, All Balanda Idofulo, kunyongwa hadi kufa, baada kupatikana na hatia ya kumuua mkewe, aitwaye Selan Kondo kwa kumchoma kisu begani. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne Septemba 26, 2023 na Hakimu...
  10. JanguKamaJangu

    Simiyu: Ahukumiwa kuchapwa viboko 8 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu imemhukumu Boniphace Abel (18) mkazi wa Nyashimba Magu Mkoani Mwanza adhabu ya kuchapwa viboko nane (8) kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia majeraha. Mbali na adhabu hiyo, Mshtakiwa ametakiwa na Mahakama hiyo kumlipa...
  11. BARD AI

    Jangili ahukumiwa Jela miaka 20 na Faini ya Tsh. Bilioni 1 kwa kukutwa na Pembe za Tembo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Jumanne Hamis kwenda jela miaka 20 na kulipa faini ya zaidi ya Sh1 bilioni, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na vipande nane vya meno ya tembo. Pia mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Joseph Jeremiah baada ya upande WA mashtaka kishindwa...
  12. Suley2019

    Aliyekuwa Waziri Mkuu Thailand ahukumiwa jela miaka 4

    MAHAKAMA Kuu nchini Thailand, imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Thaksin Shinawatra adhabu ya kifungo cha miaka nane jela. Taarifa hiyo imetolewa na chombo kimoja cha Habari ambapo imeandika kuwa Shinawatra alikamtwa saa chache baada ya kurejea nchini humo baada ya kuwa nje kwa muda...
  13. Lady Whistledown

    Tory Lanez atupwa Jela Miaka 10 kwa Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion

    Tory Lanez, Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada amehukumiwa kwenda Jela Miaka 10 baada ya kupatikana na hatia katika Makosa Matatu, yakihusiana na Kumpiga Risasi Megan Thee Stallion mnamo Julai 2020, huko HollywoodHills Japokuwa Tory Lanez alikana Mashtaka yote (kushambulia kwa kutumia...
  14. Chachu Ombara

    Mchungaji ahukumiwa miaka 70 kwa kubaka watoto

    Mahakama ya Nairobi imemhukumu mchungaji, James Njuguna kifungo cha miaka 70 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo wawili wenye umri wa miaka 11 na 14 katika nyakati tofauti kati ya Desemba 24, 2014 na Januari 7, 2015. Mahakama imebaini kuwa mchungaji huyo alitenda makosa...
  15. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  16. BARD AI

    Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

    "Ni kweli nilimuua Happiness na nilimuua Kigamboni mji mpya nyumbani kwetu kwenye chumba ninacholala,” hii ni sehemu ya maungamo ya muuaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Happiness Fredrick. Idrisa Mwangobola ambaye Ijumaa iliyopita alihukumiwa kunyongwa alieleza hayo katika maelezo...
  17. BARD AI

    Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumbaka na kumuua Mke wa Mtu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Mwanaume aitwaye Mohamed Njali kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule (24) September 25, 2022 saa saba usiku wakati Mumewe akiwa kwenye banda la video kutazama pambano la ngumi la Mandonga vs Salim Abeid...
  18. JanguKamaJangu

    Simiyu: Mwenyekiti wa Kitongoji ahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka Msichana wa miaka 13

    Makama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 30 Mambo John (30) mkulima na mkazi wa kijiji cha Isengwa kwa kosa la kubaka. John ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mwanginde ilidaiwa kuwa katika nyakati tofauti kati ya Mwezi January na May 2023 huko...
  19. BARD AI

    Afungwa miaka 3 Jela kwa kughushi nyaraka ili akawe 'House Girl' Dubai

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Hawa Mwangu (31), kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini Sh200,000 baada ya kukutwa na hatia ya kutoa taarifa za uongo katika ofisi ya Uhamiaji kwa lengo la kupata hati ya kusafiria kwenda Dubai kufanya kazi za ndani. Mahakama hiyo pia, imetoa...
  20. M

    Babati: Gurtu Sirro ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuuza meno ya tembo

    Hukumu hiyo ilitolewa na hakimu mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Victor Kimario. Kimario, akisoma hukumu hiyo ya uhujumu uchumi ya mwaka 2023, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo Januari 17 katika Kijiji cha Matufa, wilayani Babati. Alisema mshtakiwa alikutwa amebeba meno matatu ya tembo...
Back
Top Bottom