ahukumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpinzire

    David Mataka aliyehukumiwa 20 Agosti, 2021 aliwahi kuhukumiwa Mwaka 2017 kwa kesi ileile na Mahakama ileile

    Kuna jambo limenishangaza sana! Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71. - David Mataka ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa...
  2. beth

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  3. I

    Rais wa zamani wa Mauritania ahukumiwa kwenda jela kwa rushwa

    Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa. Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za nyuma. Aziz ambaye aliongoza taifa hilo la kaskazini magharibi ya Afrika kuanzia mwaka 2008 mpaka 2019...
  4. J

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi itawajia punde. Kazi Iendelee!
  5. Nyendo

    Manyara, Maisaka: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Bakari Khatibu Yangu ahukumiwa

    Hakimu mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya hakimu mkazi Manyara Mh. Simon Kobero mnamo tarehe 27/ 05/2021 amemhukumu kwenda jela kutumikia kifugo cha miaka 2 au kulipa faini ya sh. 300,000/= mwenyekiti wa tawi la Maisaka kati Wilayani Babati mkoani Manyara Bw, Bakari Khatibu Yangu. Bakari amehukumiwa...
  6. real G

    Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo cha miaka sita jela. Mbali na Mattaka, mshtakiwa mwingine ni Elisafi Mathew aliyekuwa kaimu ofisa...
Back
Top Bottom