ahukumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Burundi: Mwandishi wa habari ahukumiwa miezi 19 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila

    Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila. Mwandishi huyo wa habari mwanamke wa Burundi alikamatwa mkoani Ngozi tangu mwezi Aprili mwaka huu na...
  2. Waufukweni

    Marcus Fakana (18) afungwa Jela mwaka mmoja Dubai, kwa kosa la kufanya mapenzi na msichana wa miaka 17

    Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka 18. Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao walikutana wakati wa likizo wakiwa na familia zao. Msichana...
  3. Mtu Asiyejulikana

    Video: Aliyetembea na wanawake na watoto zaidi ya 1,000 Ahukumiwa kifungo cha miaka 8658

    Mwamba huyu hapa. Huko Uturuki.
  4. Wakusoma 12

    Mwenyekiti wa zamani wa benki ya China ahukumiwa kifo

    Mwenyekiti wa zamani wa Benki ya China, Liu Liange amehukumiwa kifo kwa kupokea hongo ya dola milioni 16.8 (TZS bilioni 44.4) pamoja na makosa mengine ya ufisadi na utoaji wa mikopo kinyume cha sheria. Mahakama ya China imeamuru mali zote binafsi za Liu zitaifishwe na mapato yake yote...
  5. Lupweko

    Mwanafunzi Hija Hamis ahukumiwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) ambaye ni mkazi wa Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya Mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  6. JanguKamaJangu

    Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  7. Ikaria

    Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

    Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama. IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa...
  8. mtwa mkulu

    Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

    KYELA. Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13...
  9. O

    Aliyemuua mtoto wake kwa kutofanana naye ahukumiwa kunyongwa

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/aliyemuua-mtoto-wake-kwa-kutofanana-naye-ahukumiwa-kunyongwa-4663540 Credit: Mwananchi
  10. Lupweko

    Ramadhani Bakari Iddi ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto

    Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo leo hii Hakimu mkazi wa mahakama ya Wilaya hiyo Mh. Geofrey...
  11. Rohombaya

    Johnson Mshana ahukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani

    Johnson Mshana (28) amehukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani. Mshana ambaye aliachiwa huru mwezi mmoja ulipita kutoka gereza hilo baada ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali kwa makusudi na pia kabla...
  12. I

    Mwanaharakati wa haki za akina mama ahukumiwa jela miaka 11 nchini Saudi Arabia kwa kutetea haki za wanawake

    Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake". Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
  13. Richard

    Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  14. ndege JOHN

    Mwanamama billionea ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la utakatishaji hela $44 billion

    Anaitwa truong my Lan umri ni miaka 67 Tajiri wa ki Vietnam amepatikana na hatua ya kutakatisha hela kwenye Bank moja kubwa Kwa zaidi ya miaka 11.ila nimeshindwa kujua hasa alifanya fraud kivipi Kwa maana hiyo hela aliichukua kama mikopo. Kesi hio Ilikuwa ni kubwa sana kiasi kwamba ilihusisha...
  15. Frank Wanjiru

    Asha (47) ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mvulana wa miaka 15

    Mahakama ya Wilaya ya Mtwara, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Asha Chanchoni (47) kwa kosa la shambulio la aibu, baada ya kubainika kujihusisha kimapenzi na mvulana mwenye umri wa miaka 15. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Lucas Jang’andu, ambapo amesema...
  16. Miss Zomboko

    Manyara: Mshauri wa Wafanyabiashara TCCIA ahukumiwa kwa kughushi nyaraka za malipo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara imemhukumu Bw. RAMADHANI RASHID MSANGI ambaye ni Mshauri wa Wafanyabiashara mwajiriwa wa Chama cha wenye viwanda na kilimo Mkoa wa Manyara (Bussines consultant -TCCIA Manyara). Mshtakiwa ameamriwa kulipa faini kiasi cha shilingi 900,000/= au kwenda jela miaka...
  17. Miss Zomboko

    Ruvuma: Katibu wa kikundi cha Walemavu Liparamba kilichopo Nyasa ahukumiwa kwa Ubadhilifu wa Fedha za Walemavu

    Katika Mahakama ya Wilaya Nyasa imeamriwa kesi ya Rushwa namba 6013/2024 ya Jamhuri dhidi ya Bw. Rainely Mathias Ngonyani ambaye ni katibu wa kikundi cha Walemavu Liparamba kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa. Mshitakiwa alishtakiwa kwa kosa la ubadhilifu kinyume na Kifungu cha 28...
  18. Mjanja M1

    Aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais ahukumiwa miaka 30 jela

    JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha. Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Aidan Nziku, alidai...
  19. Mjanja M1

    Aliyeozeshwa mtoto ahukumiwa miaka 30 Jela

    Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe tarehe 16 Februari 2024 imemhukumu mshtakiwa GIVEN MICHAEL NZUNDA (24) Mkulima, mkazi wa Shilanga kutumikia Kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Kubaka. Mtuhumiwa alikamatwa Disemba 15, 2023 maeneo ya Shilanga, Kata ya Ihanda Tarafa ya Vwawa ambapo...
  20. Mjanja M1

    Ahukumiwa kunyongwa kwa kuua watu saba wa familia moja

    Mahakama Kuu kanda ya Kigoma imemuhukumu Mkazi wa Mlole, Kigoma Ujiji Peter Moris Mwandelema (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya Watu saba wa familia moja. ( sita usiku mmoja na mmoja alifariki baadae ) Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Kigoma Agostine Rwizile...
Back
Top Bottom