afya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kujifungua Kituo cha Afya ni salama zaidi

    Siku za kujifungua zinapokaribia ni muhimu maandalizi ya kumfikisha mjamzito Kituo Cha Afya yafanyike kwasababu kujifungulia Kituo cha Afya ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani. Hakikisha Mama ana vifaa hivi: Sabuni, Boksi dogo la glovu, Khanga/Vitenge, Nepi, kifunga kitovu, kiwembe/mkasi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Polisi barabarani dhidi ya walipa kodi ni hujuma isiyo na afya kwa Taifa

    Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele. Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
  3. mediaman

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

    Je, unapenda kuishi maisha marefu? Kwa ujumla, hakuna mtu asiyetaka kuishi miaka mingi na kuwa na afya njema. Wanasayansi na wataalamu mbalimbali wamethibitisha kuwa ukizingatia mambo yafuatayo unaweza kujiongezea miaka au umri wa kuishi duniani: 1. Hakikisha unakula vyakula vyenye virutubisho...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni 1.Clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Chanjo zingetolewa kwa usawa, wazee na watumishi wote wa afya duniani wangekuwa wameshazipata

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Watumishi wote wa Afya na Wazee ulimwenguni wangekuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ikiwa zingegawanywa kwa usawa Amesema Serikali ambazo zinatoa chanjo kwa watu katika makundi yasiyo hatarishi zinafanya hivyo kwa...
  6. jobtz

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya Wizara ya Afya

    (Ajira mpya Wizara ya Afya) May 2021. As for MoHCDGEC announces vacancies for graduates to apply through the website www.moh.go.tz and other media like magazines based on the cadres as per employer requirements. The applicant will then apply through www.ajira.moh.go.tz and fill their...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo. Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili...
  8. muzi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya upimaji wa COVID-19 Airport ni kero. Gharama sijui unafanya kazi gani?

    Tanzania tunatia aibu, nimesafiri kwenda nje nikapimwa na kupewa certificate na kulipa pesa. Baada ya kufika nje nilionyesha certificate wakagonga muhuri nikaendelea na shughuli zangu. Baada ya kumaliza pilika pilika nikapima kule nje baada ya kufika Dar eti wanalazimisha kupima tena...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya na Naibu wake wataweza kuratibu upatikanaji wa chanjo waliyokuwa wanaipinga?

    Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na Kuagiza, kusafirisha, kutunza, kusambaza na kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo. Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka. Kuhamasisha watu...
  11. DESDERIUS KWIZERA MATITI

    JamiiForums Tanzania Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

    Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
  12. L

    JamiiForums Tanzania kuhusu udahili kozi za afya stashahada na astashada 2021/2022

    jamani nilikuwa naomba kuuliza dirisha la udahili kwa kozi za afya september intake kwa ngazi za stashahada na astashahada kwa mwaka wa masomo 2021/2022 litafunguliwa lini kwa vyuo vya serikali?! msaada tafadhali
  13. Gamlemilwe

    JamiiForums Tanzania Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unapenda mboga gani ya majani?

    Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku. Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu. Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tango linalofaa kwa kula ni tango lenye rangi ya kijani iliyokolea na lisilo tepeta

    Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
  16. Mjomba ni Mama

    JamiiForums Tanzania Aajira za Wizara ya Afya zilizotangazwa leo

  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

    Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima. MY TAKE; 1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, 'Kutumbua' Wakuu wa Mikoa na Wilaya kabla au baada ya Siku Kuu ya 'Eid' ipi ina Afya ya 'Kisaikolojia' kwa Walengwa?

    Kama nawaona sasa baadhi ya Watu (Walengwa) baada ya Kuusoma tu 'Uzi' huu watakavyoanza Kupiga Simu kwa Waganga wa Kienyeji na hata Kuomba 'appointment' nao haraka. Moshi Mweupe unaanza Kupaa tu sasa.
Back
Top Bottom