afya

  1. M

    Natoka sana jasho na kidole gumba kinawaka moto

    Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo. Nina shida ya Afya!. Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...
  2. Mtazamo wangu: Misamaha ya matibabu katika vituo vya kutolea huduma za afya ndio chanzo cha huduma kuzorota

    Katika vituo vya kutolea huduma za afya za msingi kwa yaani vituo vyote ambavyo vipo chini ya Tamisemi yani, Zahanati,vituo vya Afya, Hospitali za wilaya kuna utaratibu wa misamaha kwa makundi watoto chini ya miaka 5, wajawazito ikijumlisha na huduma ya kujifungua,na wazee wasio na "uwezo "...
  3. Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu

    Mbunge Minza Mjika Ahoji Mkakati wa Serikali wa Kujenga Vituo vya Afya kwenye Kata za Mkoa wa Simiyu Katika kipindi cha miaka mitatu ya fedha 2021/22, 2022/23 na 2023/24 serikali imejenga jumla ya vituo vya afya 466 vilivyogharimu shilingi bilioni 718.1 katika maeneo ya kimkakati kote nchini...
  4. PreGE2025 Mbunge Ole Lekaita Akabidhi Magari Mawili ya Wagonjwa Kituo cha Afya Sunya - Kiteto

    MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi magari hayo jana tarehe 16...
  5. Watumishi wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutofanya usafi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya cha Ugalla kilichopo Kata ya Ugalla Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi baada ya kushindwa kufanya usafi katika maeneo ya hospitali. Watumishi hao wamesimamishwa kazi leo Februari 16, 2024, ili...
  6. Katavi: Nyasi zaota kwa wingi katika Kituo cha Afya kilichojengwa kwa Milioni 500

    Licha ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea kujenga na kuboresha Zahanati na vituo vya Afya lakini bado kuna baadhi ya Watumishi wa Serikali wamedaiwa kutokuwa Wazalendo katika kutunza na kulinda miundonbinu ya Afya. Kituo cha Afya Ugala kilichopo Kata ya Ugala, Halmashauri...
  7. Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

    Najinasibu kwa kuwa consistent on issues! Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na kujitegemea katika maswala yahusuyo afya. Mchakato huu ni mrefu sana na uligubikwa na vikwazo vingi...
  8. Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

    Akijibu swali la Mbunge Thea Ntara ambae aliuliza, "Hili suala sasa hivi linatisha, mabinti wanatumia hizo P2 kama unavyotumia panadol yaani hakuna utaratibu, tutafika wakati mabinti hawa hawataweza kupata watoto, je serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa hao mabinti ili wajue matumizi ya...
  9. Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?

    Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia. Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na n ahata kama taka zote zilizosambaa chini zingewekwa kwenye pipa hilo bado zisingetosha. Nasema...
  10. Madhara mafuta ya breki(Brake Fluid)

    Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba. Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
  11. Muungano: Dkt. Mpango na Waziri wa Afya, hili si la Muungano. Msiliingize kinyemela!

    TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW' Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/zanzibar/vice-president-mpango-wants-more-cardiac-institutes-in-tanzania-4519784 Gazeti la la Tarehe 09/02/2024 linaripoti ufunguzi wa Mkutano wa maradhi yasiyoambukiza ikiwemo...
  12. Kama ukipewa ofa ya kuchagua miaka ya kuishi na mwenyezi Mungu, utachagua mingapi. Mimi 120

    Wasalaam. Kwa sababu ya uhaba wa umeme, maji safi, uwezekano wa ajali, na magonjwa ya kushtukiza na kujisababishia wabongo wengi wamekata tamaa na wanaishi kana kwamba sekunde yoyote anakufa. Hii imepelekea ufisadi, wizi, ujanjaujanja na ukosefu wa mipango mikubwa endelevu maana watu wanajua...
  13. Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  14. J

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
  15. Acha kuishi kwa hofu na wenge, kapime ujue afya yako

    Acha Hofu na Wenge kapime ujue afya yako... Kwa kipindi Cha miaka miwili nimekuwa nikiishi kwa Hofu na kujichukulia kama mwathirika HIV aka ukimwi aka Ngoma aka umeme utaongeza aka nyingine Basi bhana kutokana na iyo Hofu nilikuwa najikuta nakonda kweli na kuumwa hakuishi yaani nikiumwa tu...
  16. Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali

    Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili kupunguza tatizo la Ukosefu wa elimu ya lishe na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa na Naibu katibu...
  17. Wamiliki vituo binafsi watakiwa kusimamia ubora wa huduma za Afya

    Na WAF - DAR ES SALAM Bodi ya ushauri hospital binafsi PHAB yatoa rai kwa Wamiliki, Mashirika yanayomiliki vituo Binafsi kuhakikisha yanasimamia ubora wa huduma za Afya, kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo ya Wizara ya Afya. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu...
  18. Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya

    Na WAF - Dodoma Serikali imetoa wito kwa Watanzania, Viongozi wa kisiasa, kidini na kimila kuungana na Serikali katika kuhamasisha umma kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pale mchakato utakapoanza rasmi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel wakati akijibu swali...
  19. Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  20. Mbunge wa Momba alia na Wizara ya Afya kuhusu Huduma mbovu ya maji jimboni kwake

    Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amedai kuna changamoto ya maji safi katika Jimbo na kuwalaumu Wizara ya Afya Kwa kutoshughulikia Hali hiyo. Amedai maji wanayotumia Wanamomba hayastahili kutumiwa na Binadamu kutokana na kutokuwa masafi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…