afya

  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Ungeweza kufikia hapo ulipo bila kuchapwa fimbo?

    Wakuu kwema? JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni. Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Christina Mnzava atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu. Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
  3. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Kataa kitambi, unene kupindukia sio afya

    Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane na vyakula mbalimbali, vyenye afya, sisi tunakula ila ulajibwetu ni wa kijinga. Ndiyo! Ni wa kijinga...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM

    Shemsa Mohammed: Watumishi wa Afya Toeni Huduma Bora Ili Wananchi Waone Matunda ya Serikali ya CCM. WAKAZI wa Tarafa ya Laini, wilayani Itilima Mkoani Simiyu wamelalamikia kitendo cha watumishi wa Afya kwenye zahanati kuwatoza fedha ili wapate kadi ya watoto ya kliniki wakati huo hutolewa bure...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufunga siku 52 kwa Kila mwaka kirahisi kwa afya

    Salaam, Shalom!!! Naamini Kila mtu anajua ya kuwa, chakula ni muhimu Kwa ajili ya AFYA ya MWILI, lakini pia, matabibu wamethibitisha kuwa chakula pia ni chanzo Cha magonjwa mengi tu yanayosumbua watu wengi tangu zamani. Wiki Moja, Ina siku Saba, ukitenga siku moja iwe special Kwa ajili ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fuatilieni malipo ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Wizara pale Wizara ya Afya

    Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao. Mchezo uko hivi, kwanza inaonekana toka wanafunzi hao wajiunge na masomo yao mwaka jana mpaka sasa...
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha waliotumbuliwa kwa vyeti feki ndo wamejazana taasisi binafsi hasa secta ya Afya

    Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
  8. Outsiders

    JamiiForums Tanzania Shinikizo la kuongezewa ada katika chuo cha afya na sayansi Shirikishi Tabora (TCOHAS)

    Wadogo zetu na ndugu zetu wanaosoma Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Tabora TCOHAS hususa waliorudia masomo waliyofeli wanapitia changamoto ya ongezeko la Ada, tofauti na kiasi kilichokua kimewekwa mwanzoni. Wakati vyuo vingine vya serikali kama hiki hakuna ongezeko hilo la Ada, jambo ambalo...
  9. Munari

    JamiiForums Tanzania Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

    Habari ndg... Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama Asante Karibu
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania KWELI Mtu akikung'ata anaweza kukusababishia madhara makubwa

    Nimerudi tena kwenu wataalamu wa JamiiCheck, Eti ni kweli mtu akikung'ata anaweza kukuachia bakteria ambao wanaweza hata kukuua, kwa kutegemeana na kiwango cha bakteria atakachokuachia? Hii ni kweli wataalam?
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Aysharose Mattembe: Serikali Ilete Fedha Kukamilisha Kituo cha Afya cha Ngimu

    "Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida. "Nimuhakikishie Mbunge Aysharose Mattembe kuwa tayari tumeshakiingiza kituo cha Afya kwenye orodha ya vituo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Chachu yangu ni kupata nafasi ya kudumu sekta ya afya ili niendelee kutoa huduma kwa wagonjwa

    Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto katika utoaji huduma ofisi za Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama sio zote). 1. Utashi mdogo kwa baadhi ya watoa huduma. Mteja anapohitaji kujisajili/kuendelea na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  15. TTCC_TECNO

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio

    Katika ulimwengu wa vijana hasa wa vyuoni, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio ya kitaaluma, ukuaji binafsi, na hali ya maisha kwa ujumla. Makala hii inachunguza changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana na inatoa mikakati ya vitendo vya kukuza na...
  16. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini, Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya kusema atawataja wauza udaga, Langa, Mangwea walijiwahisha mbele za haki sababu ya udaga, huenda...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Kituo cha Afya chagundulika kuhifadhi Damu kwenye Majokofu ya nyumbani

    Mkurugenzi wa huduma za afya ustawi wa jamii na lishe Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Rashid Mfaume amebaini ukiukwaji wa manunuzi ya vifaa ikiwamo jokofu za kuhifadhia damu katika kituo cha afya Mwalugulu, katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Dkt. Mfaume amebaini hayo...
  19. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu NHIF kwa wote

    Salaam wana JF, Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote. Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
  20. Mkemia kay

    JamiiForums Tanzania Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Habari ndugu zangu, Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa 1. Kiwango cha mshahara ni bei gani? 2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
Back
Top Bottom