afya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya nini cha kufanya Wizara ya Afya

    Mapendekezo ya cha kufanya Wizara ya Afya Niweke wazi tu kabla ya yote kuwa mimi kwa miaka zaidi ya 10 sasa nimekuwa nikifanya kazi kama consultant kwenye kampuni za Afya. Mwaka wa uchaguzi nitatumia muda kutoa mawazo yangu kwenye sehemu na wizara tofauti. Nianze na machache kwenye Afya Mfumo...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

    Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu; Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali...
  3. JamiiForums Tanzania Najiuliza Yondan alijuaje kuwa Kagere ana bima ya afya uwanjani?

    Niko najipongeza na droo sio kwa bahati mbaya ni hela ya mhindi kalia. Kama mtu amekasirika ajitokeze ajifanye kama anajikuna Umejiuliza Yondan alijuaje jamaa Kagere kavaa bima ya afya uwanjani? Hivi unajua yule mshabiki wa Yanga alivyoingia uwanjani akadondoka Kilichoendelea upande wa Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanza: Achanwa tumbo hadi kutolewa utumbo kwa kuhoji matumizi ya Tsh. 10,000 aliyoacha asubuhi

    Benedictor Gogogo (48) mkazi wa kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo na kitu chenye ncha kali hadi utumbo kutoka nje baada ya kutokea ugomvi kati yake na mke wake. Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Alhamisi Januari 2...
  5. JamiiForums Tanzania Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Nkenda: Maendeleo vigezo Kipato, Elimu na Afya

    December 18, 2019 Prof. Adolf Mkenda anaelezea vigezo vya maendeleo ya binadamu . NI NGUMU KUJENGA DEMOKRASIA KAMA KUNA TOFAUTI YA KIUCHUMI :prof Aldof Mkenda Kichambua taarifa ya maendeleo. Kipato: Prof Aldof Mkenda amesema tofauti ya kipato katika demokrasia inasababisha kupoteza haki ya...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Bima ya afya inakubali kipimo cha CT Scan?

    Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je, kwa Dar es salaam ni hospitali gani?
  8. JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya naomba mnisaidie kujajili vipimo hivyo hapo na ushauri pia

    Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture Na hiki cha chini ni cha 2019 Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu Nawasilisha.
  9. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

    BW. BERNARD KONGA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MFUKO HUO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LEO DESEMBA 12, 2019* NHIF imetumia jumla ya Shilingi Bilioni 13.7 katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwezesha ukarabati na ununuzi wa vifaa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, majasusi kutoka ughaibuni wanatumia NGOs za Afya kuja kupeleleza nchi za kiafrika?

    Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali. Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii? Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika mustakabali wa nchi na wananchi. Aidha ni muhimu kujua kuwa vita baridi vinaweza kutumia mbinu...
  11. JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya mhh!

    Habari zenu wadau humu. Nina rafiki yangu ambaye alinifuata akiwa na masikitiko kwa yaliyomtokea baada ya kucheza rafu katika mambo Yale ya burudani ya watu wawili wa jinsia tofauti.Baada ya rafu hizo kaenda hospitali kupima Kama yupo salama au la...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha!: Mkutano wa diaspora wa Afya ulisusiwa na Serikali sababu Lissu

    Kila mwaka kuna chama cha diaspora cha US kinaitwa Dicota DICOTA – Diaspora Council of Tanzanians in America kila mwaka kinafanya tamasha la wataalamu wa Afya kwa lengo kubwa la kusaidia utaalamu na kuongeza ushirikiano Tanzania. Kwa sasa mwenyekiti ni Dr ambaye anafanya kazi zake Yale Medical...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu na afya Tanzania

    Wakati tunasikia kuwa jiwe ni Rais anayetamaniwa na mataifa ya nje kwa kufanya kazi zilizotukuka. Hebu sikiliza contribution ifuatayo kuhusu standards za elimu na afya Tanzania. Mataga karibuni kwa hoja. Na ikitokea nikapata jibu lenye mantiki kuanzia saa hiyo nitaacha ku-prove umbumbumbu mlio nao.
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akanusha ongezeko la makato kwa waajiriwa

    Mh. Ummy Mwalimu jana amekanusha uzushi uliokua umesambaa kuhusu ongezeko la makato ya bima ya afya kutoka sh. 18,000 hadi 40,000 akisema swala lipo kisheria mfanyakazi atachangia 3% na mwajiri wake atachangia 3%. Hii ina maana hiyo 40,000 mwajiri atatoa 20,000 na mfanyakazi atatoa 20,000...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa ya uzinduzi wa vifurushi vya bima ya afya

  16. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Fedha zilizookolewa ktk uchaguzi Njombe, Tanga, Mtwara, Katavi na maeneo mengine zijenge vituo vya Afya

    Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk. Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
  17. JamiiForums Tanzania Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu vipimo mbalimbali vya picha vinavyotumika hospitalini kuchuguza magonjwa

    Katika tiba vipimo vya radiolojia ni muhimu sana kwenye uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, vipimo vingine hutumika kama tiba. Hivi ni baadhi ya vipimo ambavyo hutumika hospitalini. NB : Vipimo hutofautiana ufanisi wa kuangalia viungo vya ndani. 1. KIPIMO CHA ULTRASOUND Ultrasound ni kipimo...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangala alituambia huduma za afya huwa hazitangazwi, mbona hopitali hii inatangaza huduma zake kupitia Fiesta 2019?

    Wakati Dr. Kigwangala akiwa Naibu Waziri wa Afya alituambia ni mwiko kutangaza huduma za afya kupitia vyombo vya habari. Akamfungia Dr. Mwaka kwa sababu hizo hizo za kutangaza huduma za afya ambazo ni mwiko kutangaza sio Tanzania tu bali duniani kote huwa iko hivyo. Cha kushangaza kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…